Yuko wapi Kamanda Tossi? Sekeseke la Chadema kule Mbeya limefanya nimkumbuke yule Mwamba!

Yuko wapi Kamanda Tossi? Sekeseke la Chadema kule Mbeya limefanya nimkumbuke yule Mwamba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Kipindi cha Kamanda Tossi Lucas alikuwa bado yuko shule ya vidudu

Yule Mwamba aliwadhibiti Wapinzani kisawasawa na Amani ikadumu sijajua yuko wapi zama hizi!

Kamanda Tossi 😃
 
Kipindi hicho wengi walikuwa hawana Uelewa sasa hivi kazi ya vyombo vya dola imekuwa ya kukamata Kamata na kukuoeleka nyumbani kwako kwa ngumi na mateke kwani wanaona wakikuweka mahabusu utawashitaki
 
Back
Top Bottom