Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule.
Wengine wamevamiwa walipokuwa...
Habari zenu wanabodi.
Kumekuwa na wivu mkubwa sana ktk jamii. Mfano mtu akikutana na mtu aliyesomanaye kamzidi kimaisha hujitenga naye. Hata mwanafunzi aliyefaulu kwenda sekondari enzi zile shule...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (katikati), akiwa ameongozana na Waziri wa Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro (watatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila...
Wakuu,
Kutokana na majibu ya uchunguzi wa kesi ya binti aliyelawitiwa na kubakwa kikatili kutolewa leo ni wazi kabsa kwamba hapa hakuna kesi wala hakuna atakaye fungwa kwa kesi hii
Wanaweza...
Huwa nacheka sana baadhi ya watu wakipinga kwa nguvu zote kuwa hakuna uchawi. Hawa hawajatembea wakajionea kwa macho yao na kushuhudia live kabisa, SIO KUSIMULIWA.
Last week kuna picha ilitrend...
Tumesikia tamko la kiongozi wa latra akipiga marufuku mahubiri kwenye mabasi lakini sisi wananchi nadhani tunayafahamu mengi ambayo ni kero lakini kutokana na kutendeka kwa muda mwingi tukaona...
Ndugu Wa Tanzania
Tumepokea malalamiko ya watu wa rika mbali mbali toka mwaka jana juu ya mashirika ya ndege hapo Dar es salaam wanavyo wasumbua watanzania wanao taka kusafiri kwenda nchi za nje...
Utakuta mhasibu kutwa nzima anashika pesa ofisini, pesa za kampuni mshahara kwa mwezi laki tano(500,000/=)
Hii inafanya wawe na tamaa ya kuiba fedha za kampuni,kwasiku unashika fedha milioni...
Hivi katika nchi yoyote Nani anamzudi mwenzake kwa kila kitu kulingana na nafasi zao Mkuu wa Majeshi na Gavana wa bank kuu.
Vipi kuhusu maslahi unyeti na ulinzi wa hawa watu?
Au la ukiambiwa...
Kila siku katika maisha yako kama una computer au kazi au biashara kwa siku ukawa unaweka 10000,au 5000,au 500 kwa mwaka unapata hela chapu chapu.
Wekeza kwa utuli ila Benki tunatumia tu hela...
Kuna kipindi nilikuwa ninahisi maumivu kwenye jino la mwisho, nikaenda hospitalini kupiga xray ikaonekana nina jino chini ya fizi, inabidi litolewe.
Nikaweka appointment ili niende kesho yake...
Wasalaam,leo weekend nikawa na appoint ment na mwenyeji wangu kijiji xxxx. Nilipofika pale nikapaki boda pembeni nimjuze mwenyeji wangu nimefika.
Wakaja watu wakanizunguka wa hicho kijiji...
Watanzania tuko zaidi ya ml 60
Wa makabila,Imani na itikadi tofauti
Tunaunganishwa kwa pamoja na utaifa wetu unaotambulishwa katika katiba ya JMT.Kuna dhana ya wanasiasa kutaka kudhani kuwa wao...
Maandamano ni "false flag" tu.
Tawala zinaangushwa na HAYO maandamano ya KILIBERALI.
MISRI
Maandamano yakamwaga damu za wasio na hatia na KUUSIMIKA utawala "wautakao" leo wamerudi kulekule kwa...
Si tu "ordinary persons" hata profesa wa masuala mtambuka anaweza kunipinga [emoji1787]
Adam (A.S) binadamu wa kwanza alishushiwa Ngorongoro Crater....baadaye sana vizazi vyake vikasambaa na...
Shalom wanajf ,
Nina swali hapa yesu alipojibu hili swali la mafarisayo nilikuwa naomba ufafanuzi wa kina .
KWAMBA NI KIVIPI UFALME WA MUNGU UPO NDANI YETU?
LUKA 17, 20-21
"Na alipoulizwa na...
Jana usiku niliweka kifuruahi cha siku 7 cha net, sma na dakika ambapo nilipara MB 400 na nilitumia zaidi ku-browse ila nashangaa muda huu net imeanza kususua na kuangalia salio naona zimebaki MB...
Ili jambo lipo afrika na linaigizwa kwa mtindo wa kudanganywa kuwa kifaa chako sasa kina 4g au 5g.
Ghalama za kuendana na hiyo mifumo nikubadilisha vifaa vyote kwa wakati ili kumudu vifaa hivyo...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa semina kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI kuhusu Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK) unaotekelezwa katika halmashauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.