Kila siku wekeza buku kumi tu

Kila siku wekeza buku kumi tu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,402
Kila siku katika maisha yako kama una computer au kazi au biashara kwa siku ukawa unaweka 10000,au 5000,au 500 kwa mwaka unapata hela chapu chapu.

Wekeza kwa utuli ila Benki tunatumia tu hela inazaliwa ila hatuioni tunatulia. Jambo la maana kweli.

Maji ni uhai maji usikose bora usile ila day isipite bila maji ndo unatakiwa ulale na maji mishipa uioshe. Unakuta mwingine Haji maji sasa anapoozaje damu.
 
20240629_194601.jpg
 
Kila siku katika maisha yako kama una computer au kazi au biashara kwa siku ukawa unaweka 10000,au 5000,au 500 kwa mwaka unapata hela chapu chapu
Wekeza kwa utuli ila Benki tunatumia tu hela inazaliwa ila hatuioni tunatulia. Jambo la maana kweli. Maji ni uhai maji usikose bora usile ila day isipite bila maji ndo unatakiwa ulale na maji mishipa uioshe. Unakuta mwingine Haji maji sasa anapoozaje damu.
Ukilewa usichati
 
Kila siku katika maisha yako kama una computer au kazi au biashara kwa siku ukawa unaweka 10000,au 5000,au 500 kwa mwaka unapata hela chapu chapu.

Wekeza kwa utuli ila Benki tunatumia tu hela inazaliwa ila hatuioni tunatulia. Jambo la maana kweli.

Maji ni uhai maji usikose bora usile ila day isipite bila maji ndo unatakiwa ulale na maji mishipa uioshe. Unakuta mwingine Haji maji sasa anapoozaje damu.
🤣🤣🤣
 
Ushauri mzuri uliotoka sehemu mbaya
 
Mkuu hawalagi miraa na bangi at the same time , kwanza kabisa you choose one and ignore the other one. Bang na Miraa sio product za kula kama moja ugali na na nyingine mboga nyama lazima utachizi tu…CHAGUA KIMOJA MKUU
 
Back
Top Bottom