Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naona ipo haja ya baadhi ya nyadhifa kutofunganishwa na siasa, binafsi ningependa rais, waziri na wabunge tu ndiyo wangefaa kuchaguliwa na watumishi waliobakia watokane na michakato ya uchaguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Nimeomba mkopo tangu mwezi wa tatu na nikakamilisha process zote maana mimi ni mtumishi wilaya x cha ajabu mwezi wa nne wamenikata kwenye mshahara na tena mwezi wa tano wamenikata hela yangu cha...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Jadi ni mila za kale na potofu? vs Dini shughuli za kibiashara ambazo zimeletwa kutudumaza akili? vipi kuhusu pagans/athens?
2 Reactions
12 Replies
495 Views
  • Closed
mangekimambi80 BREAKING NEWS: Samia ame double mishahara ya diplomats. Kwa mfano hapa Marekani diplomats kutoka TZ walikuwa wanalipwa $6,000 per month, hiyo ni nje ya marupurupu na pia wanalipiwa...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
Kuna nchi Afisa Habari ana muhimu zaidi kuliko hata Madaktari wanaookoa maisha ya Mama zetu Vijijini. Waandishi/ Maafisa Habari, wanapewa posho kila kikao, audience kibao. Hivi ni lini...
2 Reactions
6 Replies
589 Views
Kama aliye turoga kajificha mahala,, tafaadhali, ajitokeze aje atugangue uchawi wake,, maana huo uchawi ni hatali sana... waafrika tumekuwa kama mazuzu na mafisi yanayo mfatilia mwadamu nyuma...
2 Reactions
3 Replies
493 Views
Hakika nyama inaenda kuwa anasa kubwa Sana Kwa mtanzania wa kawaida,nyama ya ngombe haishikiki Tena Kwa nchi nzima hata vijijini!! Kwa Sasa kilo ni 10,000/ mpka 12,000/ Hali ni mbaya sana!! Sijui...
16 Reactions
91 Replies
3K Views
2018 kuna binti aliajiriwa kazini kwetu, ile first appointment. Binti alikuwa anakuja kazini kwa daladala na kurudi kwa daladala. Mshahara wake ulikuwa 700k ukiweka na posho ilikuwa kama 900k...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Yesu alitaja mara nyingi amri za Musa na kuziangazia katika mafundisho yake. Alisisitiza umuhimu wa sheria za Musa huku akieleza jinsi zilivyo msingi wa sheria kuu zaidi za upendo. Katika kitabu...
2 Reactions
6 Replies
579 Views
Nawasalimu, Wote mmesikia kuwa tuliwakilishwa na wachezaji kadhaa kwenye Olympic huko Paris France. Hakika hatukufanya vizuri na hawakurudi na medali hata moja. Nimejaribj kufuatilia nchi za...
3 Reactions
10 Replies
577 Views
Na ripota wetu toka Pwani ya kiwengwa kitongoji cha hasira za mkizi Mnyambuliko wa habari kuu ni mrejesho wa kutoka huko bush kwa msukuma gangwe Hasira za mkizi Vs Msukuma gangwe Mambo ni mengi...
4 Reactions
14 Replies
877 Views
Peter Salasya ni mbunge wa Mumias, Kenya, ambaye alingia madarakani akiwa na miaka 32. Kabla ya kuingia kwenye siasa, maisha yake yalikuwa na changamoto nyingi na alipitia vipindi tofauti...
0 Reactions
3 Replies
428 Views
Mwami Yesu asingizwe Habari wakuu I hope mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki, naomba kupata ufafanuzi wa swali langu kama lilivyo hapo juu kwenye heading. Nimeambatanisha na vifungu...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa Nimekua napatwa na Hali ya kutopata ndoto usiku wa ijumamosi kuamkia jumapili hii imekaaje wakuu Mwanzoni nilichukulia kawaida ila Hali hii imejitokeza tena usiku wa kuamkia...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Linapokuja suala la dini Kagame ndiye kiongozi 'sensible' zaidi katika bara la Africa. Sasa hivi anafikiria makanisa yaanze kulipa kodi! Pia soma: Rwanda yafunga makanisa 4,000 na misikiti 100...
1 Reactions
3 Replies
590 Views
Hakika zile sherehe zilifaana sana kuanzia maandalizi, muonekano, mpangilio na protoko isee hawa wenzetu wameweza na wanajua kweli. wenzetu si wakispot spot wanania kweli ya jambo na inaonekana...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Wakuu, TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TISHIO LA UGONJWA WA MPOX Agosti 17, 2024, Dodoma. Ndugu wananchi, Itakumbukwa kwamba, Wizara ya Afya ilitoa tadhadhari kwa umma kuhusu ugonjwa wa Mpox mnamo...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mfanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kulalamikia kuhusu Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi, kuwa anawaondoa watu kazini...
2 Reactions
0 Replies
884 Views
Habari Wakuu, Binafsi na declare interest kuwa najihusisha na biashara za miamala ya mtamdao ya simu Nimegundua, Mapema January baada ya Kamisheni Kushuka kwa ghafla. Nilichogundua ni...
14 Reactions
85 Replies
10K Views
Takwimu za Human Rights Watch zinaonesha kuwa, nchi 23 katika bara la Afrika zimehalalisha ushoga. Baadhi kati ya hizo, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai tokea mwanzo. Mwaka 1998, South Africa...
9 Reactions
130 Replies
10K Views
Back
Top Bottom