cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
Utakuta mhasibu kutwa nzima anashika pesa ofisini, pesa za kampuni mshahara kwa mwezi laki tano(500,000/=)
Hii inafanya wawe na tamaa ya kuiba fedha za kampuni,kwasiku unashika fedha milioni kumi za ofisi (10,000,000/=) kwa mwezi unaingiza milioni mia tatu (300,000,000/=)mshahara laki tano sio kweli!
Wahasibu muwafikirie maofisini kazi ya mahesabu ngumu jamani inaumiza kichwa! Hapo utakuta aandae reports, alipe wafanyakazi mishahara na bado analipwa pesa kidogo.