Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata...
20 Reactions
81 Replies
4K Views
Anonymous
NI takribani wiki mbili sasa kituo cha Tiba Upanga hakitoi huduma za Bima ya afya kwa sababu zisizoeleweka. Wagonjwa tunafika na hatupewi huduma. Tukipiga NHIF 199 tunaambiwa twende vituo vingine...
0 Reactions
5 Replies
498 Views
Ushauri huu nautoa mara ya pili baada ya kuzungumzia suala hili miaka kama 3 huku nyuma. Kikawaida mali za Shirika la uma kama TRC zimekuwa zikitunzwa kwa ufanisi mkubwa na kati ya mashirika...
4 Reactions
10 Replies
727 Views
NEW KING https://youtu.be/w1hgqFRsoZ8
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Anonymous
Ni jambo la kusikitisha kwa reli ya kimataifa kama hii ambayo inadaiwa kutumia viwango vya kimataifa kuziba njia za wakazi wa Makulu na kusababisha watu kuhama kwa muda kwani hakuna njia ya...
0 Reactions
4 Replies
536 Views
Sheikh machachari Kundecha Akizungumza na chombo kimoja cha habari amemsifia mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kutekeleza maagizo ya dini katika opeareshi yake ya kupambana na madanguro na madada poa...
0 Reactions
9 Replies
506 Views
Habari zenu wana jamvi, Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi...
12 Reactions
108 Replies
7K Views
Ni picha imepigwa mitaa ya Sinza, baadhi ya wanawake wamekuwa wapo radhi kutoka nje almost uchi kabisa kwenda kujiuza Ukikutana na mdada anayejielewa na anayefanya kazi atakuambia watu hawa...
14 Reactions
99 Replies
5K Views
Jamaa kaongea yote hapa!
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Anonymous
Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Wakati Bajeti Kuu ya Serikali ikitarajiwa kuwasilishwa kesho, Menejimenti ya Tume ya Madini imetakiwa kufanya kazi kwa weledi, umoja na mshikamano ili kufikia lengo la Serikali la makusanyo ya...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Anonymous
Waandikishaji daftari la wapiga Kura, Bukoba manispaa wametapeliwa pesa zao. Hawajalipwa kiasi cha pesa elfu sitini ambayo ni malipo ya siku moja.
0 Reactions
5 Replies
319 Views
Ndugu Hamis Kigwangala ni mmoja ya mawaziri ambao ukiwaona wakiwa katika mambo yao ndipo utaamini uchawi upo. Kuna mtu mmoja amekuwa akipinga sana humu JF kuwa hakuna uchawi. Mimi namwambia kwa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeona mchakato toka reli inaanza kujengwa, Treni zenyewe kufika, na Tarehe ya uzinduzi. Hakuna mahali nimeona Tangazo la kazi mchakato wa kupata izi ajira kwenye treni pamoja na wahudumu? Je...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Nabii BASHANDO atafanya Ibada ya kumwombea KIGWANGWALA arudi kwenye uwaziri wa maliasili na utalii. Maombi haya yatafanyika Kwa siku tatu kuanzia tar 5 July Hadi tar 9 mkoani TABORA. Mimi...
0 Reactions
40 Replies
1K Views
Anonymous
Ndugu DAWASA na Waziri wa maji, Ninaandika kueleza hasira yangu kuhusu tatizo linaloendelea la ukosefu wa maji katika baadhi ya maeneo ya Tabata Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa hatujawa na maji, na...
0 Reactions
1 Replies
331 Views
Anonymous
HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Mkutano wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC utafanyika Beijing kuanzia Septemba 4 hadi 6. Hii itakuwa ni mara ya nne kwa Baraza hilo kufanya mkutano wake kuwa wa kilele...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Naomba niingie kwenye Mada moja kwa moja. Kutokana na malalamiko ya wananchi kutendewa unyama na jeshi la polisi sehemu mbalimbali za nchi, kama vile raia kuuwawa vituo vya polisi, raia...
1 Reactions
4 Replies
533 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema ni hali iliyo Wazi kabisa kwamba Chaguzi za Ndani za Chadema zinatawaliwa na Rushwa Lisu amesema inashangaza kuona Matumizi makubwa...
0 Reactions
4 Replies
460 Views
Back
Top Bottom