Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uhifadhi wa mazingira ndizo kelele za dunia yetu kwa nyakati hizi, ardhi haiongezeki, bali watu wanaongezeka na masai wameongezeka kwa idadi kubwa ya kutisha, no matter ni eneo waliloishi miaka...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua kusimamia kwa...
0 Reactions
3 Replies
640 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini...
0 Reactions
9 Replies
673 Views
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi baada ya kumaliza kushiriki mbio hizo Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki kukimbia mbio za CRDB Bank Marathon 2024 Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki...
0 Reactions
0 Replies
443 Views
SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA 📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji...
0 Reactions
5 Replies
418 Views
Kwa jinsi wanavyoshughulikia mambo na kuyapa uzito usio sawa, hii ni aibu na inatia mashaka sana. kwa mfano, jinsi wanavyoliendesha suala la binti aliebakwa, je kama ingekua hakuna ushahidi hali...
2 Reactions
14 Replies
816 Views
Sitambui hii kesi ni jalida namba ngapi labda ningeweza kuikomalia ila nasisitiza kuwa kutenguliwa hiyo nyadhifa isiwe ndiyo mwisho wa kesi,kesi ya ubakaji sio kesi ndogo hata kama alobakwa ni...
2 Reactions
7 Replies
502 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa zinazomsambaa kuhusu mwenendo wa tukio la kikatili lililotokea dhidi ya binti mmoja mkazi wa Dar es Salaam...
2 Reactions
1 Replies
683 Views
Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa nchi za SADC hautakiwi uwe Unajisahau sana au hata kuwa na Dharau kwa unaowaongoza.
2 Reactions
12 Replies
779 Views
Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana. Kwa...
18 Reactions
57 Replies
4K Views
Hili jambo limeanza kunishtua sana baada ya kumsikia Professa Janabi kuhusu wanaotoa figo wanaishi miaka mingi. Hii tafiti sijasikia kokote duniani kuwa inakupa guarantee utaishi muda mrefu. Cha...
3 Reactions
5 Replies
280 Views
Huyu Kikongwe ni kama amechanganyikiwa na akili imeanza kurudi mserereko utotoni Kwa sababu za umri mkubwa. Amekuwa anatumia Kila aina ya Mipasho kujipamba ila haijamsaidia sana Toka Babu mwenzie...
3 Reactions
4 Replies
373 Views
Kwema kuna mtu anatumika hii huduma ya Halotel fibre??
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Nichukue nafasi hii kukupongeza Raisi Samia kwa kumuondoa huyu mjivuni na mwenye amri za kibabe msonde,nadhani unatufatilia vyema hapa jamii forum. Kwa upande wa elimu bado kuna changamoto ya...
1 Reactions
0 Replies
309 Views
Hello! Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Meli zinazopeperusha bendera za China na Ufilipino zimegongana leo Jumatatu, Agosti 19, 2024 karibu na mwamba unaogombaniwa katika Bahari ya Kusini ya China. Kulingana na vyombo vya habari vya...
3 Reactions
2 Replies
607 Views
Katika wilaya 5 za Mkoa wa Dar Es Salaam ni Wilaya ya Ubungo pekee ndio haina Kiwanja cha Mpira wa miguu, hivyo naishauri Serikali ya Mkoa na Wilaya ya Ubungo kufanya mchakato wa kujengewa Kiwanja...
1 Reactions
8 Replies
490 Views
Wakuu nimerudi tena Habari za muda Nilifanya application za vyuo vya afya kama mlivyoniambia niliweka radiology, optometry, dentistry na physiotherapy Ila nimechaguliwa hii kozi ya dentistry chuo...
0 Reactions
1 Replies
455 Views
Ikulu imesafishwa kwa 97% Mhe Rais malizia 3% iliyobaki. Mhe. Rais umeamua kusafisha nyumba yako nyeupe yaani mahali patakatifu Ikulu ni bora usafishe yoote, Mhe. Rais Dr. Samia tumeona umeondoa...
1 Reactions
1 Replies
606 Views
Naona kuna tatizo la kiufundi kuhusu kupatikana kwa huduma za TIGOPESA, tupeni hata taarifa ni kwa muda gani tatizo litarekebishwa.Wahusika tupeni taarifa.
2 Reactions
2 Replies
416 Views
Back
Top Bottom