Kuna kipindi unafika mahali unaona si busara kukaa kimya, lakini pia si lazima ueleze kila kitu kinachokupitia.
Kwa sasa niko kwenye hatua ya kujipanga upya. Sina ajira ya kudumu, lakini...
Sina takwimu ya kuona bidhaa inayozalishwa na kiwanda cha mtanzania mwenzetu,mbantu mwenzetu mweusi mzawa (KWENYE MALIGAFI NAJUA WAPO WENGI WANAUZA HADI NJE)
Wako watu wanaota walishwa chakula cha aina yeyote ile na watu wanaowajua hii inamaana gani???
Ukiota unalishwa chakula na mtu unayemjua tafsiri yake ni huyo mtu anakuloga kwa lengo la kutaka...
Wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada. Nina amini wengi wenu mmeshakutana na ule wimbo mpya wa Lango (Liko Lango Moja Wazi) uliorudiwa upya kwa namna ya kipekee kabisa na kwaya maarufu ya Neema...
Wakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu...
Tunaomba msaada kuna tukio limetokea tumeshindwa, iko hivi kuna mama ni jirani hapa, mme wake alimuacha akiwa na watoto 4 sasa ikabidi awe anafanya vibarua akapata kamtaji kake kidogo akawa ana...
Mpango haulengi kuondoa umiliki wa ardhi
Na Lusajo Mwakabuku – DSM
DAR ES SALAAM: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu...
Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro(NCAA) yasema simba kumi wameuawa tarehe 18, mwezi huu wa Septemba, katika eneo la Ndutu, kata ya Endulen.
Uchnguzi wa awali umebaini kuwa simba hao...
Kama kawaida kwenye jukwaa langu pendwa, habari na hoja mchanganyiko.
Leo nimeshangaa sana, nipo kwenye sherehe hapa, ilipofika mda wa kutunza nilipanda pale jukwaani na elfu moja Moja...
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram muda mfupi baada ya kuchapishwa kwa hoja ya Mdau...
Hawa wanawake wa mjini wanaozungumza wakitamka maneno kwa madoido kama wanameza ulimi ni vituko haswa.
Mtu anakaribisha kwenye biashara anasema karrlibu "chakurrla" badala ya "karibu chakula''...
Mchungaji wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Mtaa wa Kinyerezi, Mchungaji Maotola Lumbe, amemshukuru Waziri Mkuu na Serikali kwa msaada walioutoa baada ya wanakwaya wa kanisa hilo kupata ajali...
Mimi kuna siku nilishuka kwenye boda na helment kichwani nikapitiliza nayo kwenye daladala, ile nimekaa nashangaa kila mtu ananiangalia tu ndo mmoja akaniuliza mwenzetu vipi na helmet kichwani...
Ukiangalia jinsi mfumo na muundo wa mwili wa binadamu ulivyo dhaifu na wenye changamoto nyingi hatarishi, kuna uthibitisho wowote kuumbwa na mbuni mkuu ?
Ulimwengu wenye matetemeko, Mafuriko...
Wataalamu wa sekta ya ardhi mkoani Mtwara wakiendelea kupata mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi katika Ukumbi wa Chuo cha Stella Maris, Mtwara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu...
Tukielekea ukingoni mwa mafunzo ya mfumo mpya wa Ardhi kidijiti mkoani Kagera, wataalamu wa sekta ya ardhi wameanza kuonesha matokeo ya ujuzi walioupata kwa vitendo, ambapo hadi sasa hati nne za...
Mwanamke!!!!…maisha mazuri hayaji kwa kupanua panua miguu yako hovyo hovyo…
Umalaya huleta nuksi sana kwenye maisha..wengi wenu hamjui tuu..
Yaani kwanza Malaya hanaga haiba ya kike..by 100%...
M-pesa, Tigo-pesa, Airtel money, halopesa, ezypesa nk zinatisha.
Makato ni makubwa mno, ni kweli huduma hizi za kutuma na kupokea pesa zinatusaidia Sana kuokoa muda na kufanya biashara kwa...