Wanawake acheni tamaa

Wanawake acheni tamaa

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,494
Reaction score
17,410
Kama kawaida kwenye jukwaa langu pendwa, habari na hoja mchanganyiko.

Leo nimeshangaa sana, nipo kwenye sherehe hapa, ilipofika mda wa kutunza nilipanda pale jukwaani na elfu moja Moja nimechench zipo 100 jumla laki 1, nimepanda jukwaani pale wakat mziki unalia nikazimwaga kwa kuzisukuma Moja Moja pale ukumbin, sasa sijui mademu walijua ni Dola zile wamepiga mayowe balaaa labda walijua ni fedha za kimarekani dollar $.

Ebana baada ya nususaaa mc ananiambia mademu zaid ya kumi wanamuomba MC namba zangu aiseee

Hapo safari zipo hapa 🫡 najion Kam wale mapedeshee wa kikongo.

Kumbe dar Kuna njaa hivi??
 
downloadfile-147.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom