Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habarini.... Bila kuwapotezea muda kwa salamu.... Ningependa kusema mimi kwa upande wangu naona hizi mvua za el nino hazitakuwepo japokuwa ni kweli mvua lazima zinyeshe lakini sio kubwa ivo...
4 Reactions
34 Replies
717 Views
Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo...
2 Reactions
15 Replies
234 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa maeneo ya viwanja na nyumba yaliyopo Kata ya Mbezi, Kijiji cha Msufini Kidete, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Maeneo yetu yamekuwa yakihitajika na wawekezaji...
3 Reactions
7 Replies
325 Views
Hope channel Thanks...
1 Reactions
0 Replies
18 Views
Wathamini wamemuaga kwa heshima Mthamini Mkuu Bi. Eveline Mugasha kwa mbio maalumu (jogging) ya kilomita tano, ikiwa ni sehemu ya kumuenzi na kumpongeza baada ya kustaafu utumishi wa Umma...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive 👋. Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung...
4 Reactions
7 Replies
158 Views
Heshima unayoilinda haina maana kama hauna chochote... AHSANTE
5 Reactions
30 Replies
175 Views
Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, ametangaza pigo jipya kwa wapenzi wa michezo ya video nchini humo baada ya kupiga marufuku rasmi mchezo unaosubiriwa kwa hamu mkubwa duniani wa Grand...
2 Reactions
0 Replies
106 Views
Naibu waziri anapitia wakati mgumu sana kwenye hiyo wizara. Hana furaha kabisa. "Ana miss" enzi za mwenye kifua kipana. Katengwa yuko yuko tu kama mkiwa. Kinachomsaidia ni elimu yake nzuri...
8 Reactions
24 Replies
492 Views
Hii ni kwa sababu uchawa ni kusifia kitu au mtu ata katika madhaifu yake. Mtu ambaye siiyoo chawa atakuambia wapi umekosea na wapi umepatia.
4 Reactions
7 Replies
76 Views
Baadhi ya wanafunzi wa UDOM tunapata shida kuyaona matokeo yetu kwenye mfumo wa Sr2 kwa sababu ya madeni ambayo hatuyaelewi. Baada ya matokeo kutoka Hali ilikuwa shwari watu tuliona matokeo yetu...
2 Reactions
1 Replies
146 Views
guest-1789818704
Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake. 🏠 Vyumba 5 – 4 Master 🛋️...
5 Reactions
50 Replies
886 Views
Wanamichezo wanaoshiriki Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali nchini (SHIMIWI) 2026 inayotarajiwa kufanyika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kuzingatia...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
My take Si kwa ubaya, ila nakumbuka vongozi wengi wamekuwa wakitoa matamko ambayo haijulikani kama tayari ipo kwenye kumbukumbu rasmi za utekelezwaji. Kwa namna hii basi watanzania tutakuwa...
0 Reactions
1 Replies
101 Views
Ukishinda, huhitaji kelele wala kujionyesha watu wajue umeshinda. Ushindi wa kweli ni ule unaotulia unakua kimya kimya bila kuvuta macho ya kila mtu. Nguvu ya kweli haiko kwenye kuwazidi wengine...
9 Reactions
6 Replies
219 Views
Njia 20 za kuboresha uchumi usio rasmi nakupunguza Malaya Dar es Salaam Kurahisisha usajili wa biashara – Kufanya usajili uwe rahisi, wa haraka na wa gharama nafuu. Kupunguza kodi na ada zisizo...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Nasema tamasha la maadhimisho ya bongo fleva mika 30 ni zaidi ya fiesta. wakongwe wamekamata kila kona. Leo tarehe 19.09. Chuga kitawaka. TMK halisi tunawataka wapige shoo kwa pamoja kama walivyo...
1 Reactions
7 Replies
185 Views
MTWARA Mafunzo ya Mfumo wa e-Ardhi yameanza mkoani Mtwara, huku wataalamu wa masuala ya ardhi wakijipanga kutumia mfumo huo wa kidijiti katika kuboresha utoaji wa huduma za ardhi kwa wananchi kwa...
0 Reactions
2 Replies
108 Views
Baada ya Mwananchi kuwasilisha hoja Mtandaoni kuhusu tatizo la maji kutitirika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
0 Reactions
3 Replies
140 Views
Kuna muda mtu anabadilika, halafu watu wanaanza kujiuliza: “Huyu amepatwa na nini?” Jana nilikaa nikawaza mambo mengi sana kuhusu maisha, watu na namna tunavyohukumu mtu bila kujua kinachoendelea...
2 Reactions
2 Replies
131 Views
Back
Top Bottom