MTWARA
Mafunzo ya Mfumo wa e-Ardhi yameanza mkoani Mtwara, huku wataalamu wa masuala ya ardhi wakijipanga kutumia mfumo huo wa kidijiti katika kuboresha utoaji wa huduma za ardhi kwa wananchi kwa...
Baada ya Mwananchi kuwasilisha hoja Mtandaoni kuhusu tatizo la maji kutitirika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
Kuna muda mtu anabadilika, halafu watu wanaanza kujiuliza: “Huyu amepatwa na nini?”
Jana nilikaa nikawaza mambo mengi sana kuhusu maisha, watu na namna tunavyohukumu mtu bila kujua kinachoendelea...
Huyu kijana anayeitwa SOKA ALIFANYA jambo gani baya mpaka akauwawa au kupotezwa na wenye mamlaka? Aliwakosea nini? Naomba kufahamu maana binafsi nimemjua baada ya kutekwa na SI kabla ya hapo...
Ningependa kuwasilisha kero kubwa inayohusu wizi na ukabaji unaoendelea katika maeneo ya Buguruni Rozana na mitaa yake jirani, ikiwemo Pandia Street na Mitungi Street.
Kwa mujibu wa hali...
Naomba kufahamishwa juu ya umri sahihi wa kustaafu Kwa wanajeshi wa jeshi la ulinzi JWTZ Kwa Kila cheo kwasababu unaweza ukamkuta askari ni Mzee harafu unajiuliza huyu anaweza kukimbia au...
Aina mbalimbali za mitambo itumikayo kwenye tasnia ya ujenzi.
Excavators
Backhoe
Dragline Excavator
Bulldozers
Graders
Wheel Tractor Scraper
Trenchers
Loaders
Tower Cranes
Pavers
Compactors...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia kijana mmoja anayedaiwa kuwa mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kumbaka mwanamke aliyekuwa mteja wake katika Wilaya ya Mtwara.
Mtuhumiwa huyo...
Maboss.
Mwezi August niweka Uzi wenye kichwa: Nilitaka kununua Drone kwa Matumizi Binafsi, ila mbona gharama ya kulipia ni kubwa kuliko kununua?
Baada ya kupata madini kutoka kwa wadau, wengine...
Kuna matuta katika eneo la Chang’ombe Makaburini yaliyowekwa na wananchi bila kufuata utaratibu unaotakiwa. Hali hiyo imekuwa ikisababisha ajali, huku baadhi ya watu wakipata majeraha.
Je...
Kabisa katika moja na mbili,,,
Hiki na kile
Hapa na pale..naona kabisa...
Daaah! kuna mambo hayako sawa.,,sasa baada ya kutafakari kwa kina nikapata uhakika pasi na shaka kwamba nilikuwa sijaingia...
Wenye Vyeo Vya Kuanzia Second Lieutenant Hadi Cheo Cha General Huwa Ni:
Wastaarabu
Wana Hekima
Wanajitambua
Wakarimu Na Marafiki Wazuri
Hawana Makuu Wala Dharau
Wana Nidhamu ILIYOTUKUKA
Hawana...
Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limefanya kikao cha kwanza na mshauri mwelezi kampuni ya SYSTRA kutoka Ufaransa, inayotarajiwa kufanya upembuzi yakinifu (Feasibility Study) ya mradi wa reli za...
Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha...
Kwa miaka mingi, baadhi ya wafanyabiashara nchini Nigeria wamekuwa wakijisifu sana kuhusu umahiri wao katika biashara, wakijiona kama miongoni mwa wafanyabiashara hodari zaidi barani Afrika...
1. Maagano ya Damu (Blood Covenants)Ulimwengu wa giza hufanya kazi kupitia maagano ya damu ya siri, ambapo kafara za wanyama au wanadamu hutumika kama sarafu kuu ya kiroho. Kwenye dunia ya asili...
hakuna kidumucho milele isipokuwa milele yenyewe
Kaburi linachukuliwa kama nyumba ya milele kwa wafu lakini uhai wa mwili mfu kaburini si zaidi ya miaka 20, labda ile kumetumika njia maalum za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.