Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tembi wa Afrika Wanaweza kufugukia kama wale wa Asia? Yule Hannibal alitumia tembo wa kutoka wapi?
3 Reactions
25 Replies
211 Views
Hamjambo! Asidhani mimi nimkimya sana. Mwenzio nalinda hadhi yangu(in Aslay song's voice) mwambie ama zake ama zangu. Sisi tumetulia zetu. Tumekaa zetu. Tunaenjoy zetu. Tunapongezana zetu. Mtu...
4 Reactions
4 Replies
98 Views
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kimoja hapa Tanzania. Chuo kilitupa nafasi ya kuchagua sehemu ya kufanya field kwenye account ya SIMS, nikachagua kufanya field VETA mojawapo hapa...
10 Reactions
49 Replies
903 Views
Baada ya kifo mwili wa mwanadamu hukauka na kuwa mgumu kabisa. kama mwili wa mwanadamu haujahifadhiwa vizuri mchakato wa kuoza huanza saa 24 baada ya kifo...
2 Reactions
7 Replies
198 Views
MPOGOLO: ATAYETUPA UCHAFU JIJINI DAR FAINI LAKI 3 HADI MILIONI 1 AU KIFUNGO CHA MIEZI 12–24 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amesema mtu atakayebainika kutupa taka hovyo jijini Dar...
1 Reactions
13 Replies
378 Views
Haya bhana… nimekata tamaa kidogo. 😅 Kuna muda unafika unaona umejaribu kila upande, umefikiria kila njia, lakini bado mambo yamekaa kimya. Kwa sasa sina cha kujifanya. Nimechoka, nimebanwa, na...
10 Reactions
17 Replies
169 Views
Mamlaka ya Maji Sengerema (SEUWASA) imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa za kiutendaji na kifedha, hali ambayo imeanza kuwaathiri sana watumishi pamoja na utoaji wa huduma kwa wananchi. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
302 Views
Anonymous
Mimi kero yangu ni Hospitali ya Manispaa ya Singida zamani Hospitali ya Mkoa imejengwa majengo mapya ila tangu majengo hayo yaanze kazi ni miaka kadhaa sasa wahudumu wanateseka kupeleka wagojwa...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra...
1 Reactions
9 Replies
113 Views
Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe. Nimegundua watu hutumia kujiliza...
16 Reactions
49 Replies
518 Views
Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia...
8 Reactions
72 Replies
748 Views
AUWSA ARUSHA..tangu mwezi wa Tano hawajashughulikia Bomba la Maji lililopasuka Kata ya Oloiren Mwanama Reli na Maji kuharibu barabara. Hali ni mbaya sana sasa.
0 Reactions
4 Replies
56 Views
Anabebeka.
19 Reactions
121 Replies
2K Views
Kuna jambo ambalo tumeliona mara nyingi katika historia. Kitu kipya kinapotokea, watu huanza kusema: “Hiki kitu kitakuwa hatari sana siku zijazo!” Lakini miaka inapita, watu wanakizoea, sheria...
2 Reactions
22 Replies
265 Views
Hellow Greate Thinker!!! Nipo JF naona ki sms kimeingia kwa kinamba kigeni, kinasema Namba ya yule shemeji kimeipata, ni mtaalam atanisaidia nifanyeje wakuu!
1 Reactions
6 Replies
91 Views
Kabila la Dani la Papua New Guinea lina desturi za kutisha za ndoa. Ili kuoa, mwanamume lazima akate kidole kutoka kwa mkono wake wa kulia kama mahari kwa bibi arusi wake. Katika kesi ya talaka...
1 Reactions
15 Replies
251 Views
Nimelelewa kwenye mazingira ambayo sikupewa nafasi ya kuchanganyika na watoto wenzangu. Baada ya kuoga na kupaka mafuta ilikuwa ni kukaa ndani hadi muda wa kula usiku. Sikuwahi kuwa na marafiki wa...
9 Reactions
38 Replies
570 Views
Habari wakuu natumaini mko salama. Kisa hiki kilinitokea mwaka 2007 Pala Arusha njiro Nilikua nachukua ujuzi wa kuchomelea mageti na vitu vingine vya Jamii ya chuma . Nilikua mwaminifu sana na...
5 Reactions
7 Replies
281 Views
Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu... Yaani the father, son and the holy spirit. Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul.. Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu...
10 Reactions
135 Replies
902 Views
Hellow guys! Happy sun day!!! Kuna thread nilileta ilikuwa inahusu "Uhai wa binadamu unaanza wakati gani?"......wengi wakasema baada ya mbegu ya mwanaume na mwanamke kuungana.... Sasa katika...
3 Reactions
20 Replies
142 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…