Je watafufuliwa?

Je watafufuliwa?

Psalm_27

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2026
Posts
1,653
Reaction score
3,243
Hellow guys!
Happy sun day!!!

Kuna thread nilileta ilikuwa inahusu "Uhai wa binadamu unaanza wakati gani?"......wengi wakasema baada ya mbegu ya mwanaume na mwanamke kuungana....

Sasa katika ukuaji kuna stage kinapitia hadi kuwa binadamu kamili, kama kiinitete, kijusi and so on.....

Sasa kuna baadhi ya wanawake wanatoa mimba, Baada ya wiki moja au tatu, au miezi 3 au 5 ambapo tayari mchakato umeshaanza wa uumbwaji wa mtoto....

SWALI NI JE?
Nini hatima ya hawa viini tete na vijusi, je vitafufuliwa? Na vitakuwa upande gani?
Asanten.......
Cc........ Jagina ....... Mshana Jr ...... Setfree ..... Matunzo 02
 
Kuwa hai kidaktari ni ubongo unapoanza kufanya kazi . Je unaanza lini ndio uhai unapoanza kufanya kazi. Hayo ya kufufuliwa sijui itakuwaje mana protein yako ikioza inakuwa kirutubisho cha mmea ambao aliyezaliwa miaka 170 baada yako alikila kikawa sehemu ya mkono wske. So sijui kukuka kutakuwaje
 
hawatafufuliwa coz hawajui njema na baya wanarudishwa kuzaliwa upya
 
Kuwa hai kidaktari ni ubongo unapoanza kufanya kazi . Je unaanza lini ndio uhai unapoanza kufanya kazi. Hayo ya kufufuliwa sijui itakuwaje mana protein yako ikioza inakuwa kirutubisho cha mmea ambao aliyezaliwa miaka 170 baada yako alikila kikawa sehemu ya mkono wske. So sijui kukuka kutakuwaje
Asante mkuu... ubongo unaanza kufanya kazi baada ya mda gani?
 
Ukweli uko hivi....
Watafufuliwa na wataulizwa " kwanini walikuuwa?"
Watajibu " hatujui Wala hatukuwa na kosa"

Kila kiumbe/kitu kilicho kwenye mgongo wa ardhi kitafufuliwa.
 
Mungu anasema
Msiuwe watoto wenu, maana yeye anawaruzuku nyinyi na wao.

Suala la kutoa mimba, tayar wew ushauwa kiumbe,hata kama kilikuwa na siku moja
 
Asante sana... kijusi kinaweza kuongea?
 
Duh... kuna watoto wengi ambao wamekufa wakiwa kwenye mchakato, namshukuru sana MUNGU hata kwa age hii.
 
Hao viumbe wata tumika kama Kuni,Kuwa choma wazazi walio watoa
 
Asante sana... kijusi kinaweza kuongea?
Ndiyo kitatamkishwa na kitaongea
Yesu aliongea akiwa na siku moja ya kuzaliwa.

Kiufupi;kila kiumbe kitaongea siku ya kiyama
Mtu mzima ulimi wake (mdomo) utafungwa na vitatamkishwa viungo vingine kumutolea ushahidi
 
Asante mkuu... nadhani ni kwa mjibu wa quran
 
Back
Top Bottom