๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ผ๐˜€

๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—š๐—ผ๐—ผ๐—ด๐—น๐—ฒ ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ผ๐˜€

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,355
Reaction score
2,767
images.jpeg

Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive ๐Ÿ‘‹.

Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung kuachana na mfumo wa OneDrive kwa Gallery. ๐Ÿ‘€

2_20260919_114451_0001.png

Sasa unaweza kuhifadhi picha na video zako kwenye Google Photos โ˜๏ธ, kuchagua albums unazotaka kusync, na hata kufuatilia nafasi iliyobaki kwenye Google Account yako.

Unachopaswa kujua ni hivi ukiwa na Samsung Gallery unaweza kuhifadhi picha zako kwenye Google Photos kwa kufanya backup kirahisi.

Unafikiri Google Photos itakuwa bora kuliko OneDrive kwa watumiaji wa Samsun
g? ๐Ÿค”๐Ÿ‘‡
 
Ukisha tia picha yako huko ni mali yao hata ukiifuta wenyewe watabaki nayo. The same na drop box na kwingine kote watu wanako tunzia picha zao.
 
Ukisha tia picha yako huko ni mali yao hata ukiifuta wenyewe watabaki nayo. The same na drop box na kwingine kote watu wanako tunzia picha zao.
Sahihi, niliwahi kufuta picha dropbox, nikawatumia ujumbe na wakanirudishia zoote.
 
Back
Top Bottom