Mwana FA hana furaha kabisa wizarani.

Mwana FA hana furaha kabisa wizarani.

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,550
Reaction score
5,854
Naibu waziri anapitia wakati mgumu sana kwenye hiyo wizara.

Hana furaha kabisa. "Ana miss" enzi za mwenye kifua kipana.

Katengwa yuko yuko tu kama mkiwa.

Kinachomsaidia ni elimu yake nzuri anayo ambayo imemsaidia "kuhendo" mambo kwa hekima na busara kwa kuwa kimya na kukataa mashindano.

Maza amuhamishie tu kwenye afya awe naibu.

Ushauri tu ajiuzulu awe na amani.
 
Ebhanna eeeh
 
Ilishajulikanaaaà tangu mapema
 
IMG-20260915-WA0459.jpg
 
Naibu waziri anapitia wakati mgumu sana kwenye hiyo wizara.

Hana furaha kabisa. "Ana miss" enzi za mwenye kifua kipana.

Katengwa yuko yuko tu kama mkiwa.

Kinachomsaidia ni elimu yake nzuri anayo ambayo imemsaidia "kuhendo" mambo kwa hekima na busara kwa kuwa kimya na kukataa mashindano.

Maza amuhamishie tu kwenye afya awe naibu.

Ushauri tu ajiuzulu awe na amani.
Azoee tu hiyo ndio style ya bwana bashite anatakaga kushine yeye pekee yake yaani lazima akukanyagie ili yeye aonekane star kwa wananchi.
Ila nauhakika kamati ya kizimkazi inamlia timing tu akijisahau wanakula kichwa kipindi hakutarajia wale hawana wema huo kama anavyofikiri bwana bashite.
 
Naibu waziri anapitia wakati mgumu sana kwenye hiyo wizara.

Hana furaha kabisa. "Ana miss" enzi za mwenye kifua kipana.

Katengwa yuko yuko tu kama mkiwa.

Kinachomsaidia ni elimu yake nzuri anayo ambayo imemsaidia "kuhendo" mambo kwa hekima na busara kwa kuwa kimya na kukataa mashindano.

Maza amuhamishie tu kwenye afya awe naibu.

Ushauri tu ajiuzulu awe na amani.
Kwakuwa ana elimu ya masuala ya fedha, angempeleka Wizara ya noti
 
Alitaka kujifanya kama mtoto wa Museveni, kwamba anaweza toa amri kupitia social media na ikatekelezwa, mambo yapo tofauti kwa hapa kwetu. Yeye ni Waziri wa Habari ila media zote zimemkataa kwenye hili.

Soon, Mwana FA anaenda kuwa waziri kamili.
 
Ngoja tuone mambo yatakavyoenda ila kiti kimekuwa cha moto
 
Makonda anaushindani wa kitoto anapenda akiwa sehemu awe yeye tu… spotlight kind of guy
 
Back
Top Bottom