Hellow wana JF.
Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema...
Wakuu kuna hii video inako mtandaoni sijajua ni ya lini ila kwa kweli imenihuzunisha sana kwa matendo ya kikatili ambayo wanayapitia hawa Wananchi, na ninadhani huu ni ujumbe mkubwa kwa wenye...
Ni takribani siku ya tano sasa wakazi wa Mbezi Juu, maeneo ya Makonde, Jogoo pamoja na mitaa ya Salasala hatupati huduma ya maji, huku DAWASA ikiwa haijatoa taarifa yoyote kuhusu changamoto...
Kwenu NEMC;
Ninaandika kuhusiana na wasiwasi wangu juu ya hali ya uchafu wa mazingira katika miji yetu. Inasikitisha kuona taka zikitapakaa barabarani, katika maeneo ya wazi, masokoni, kwenye...
🦁 Vifo vya wanyamapori
🐄 Kupotea kwa mifugo kutokana na mashambulizi ya wanyamapori
☠️ Binadamu kulipiza kisasi kwa kuua wanyamapori
🌿 Uharibifu wa mazingira na makazi ya wanyamapori
💧...
Taarifa za awali kutoka eneo la Ndutu, Kata ya Endulen, Wilaya ya Ngorongoro, zinaeleza kuwa leo Septemba 19, 2026, simba wapatao 10 wameuawa katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kisasi baada ya...
Tabora imeripotiwa Askari wa Hifadhi kutoka TAWA wapatao sita wameuawawa na wananchi wenye hasira Kali.
Huko Arusha, imeripotiwa kwenye Hifadhi ya Wanyapori, Simba wapatao 10 wameuwawa.
Nini...
Katika eneo la Mbagala Kilungule, kuna changamoto kuhusu utaratibu wa ukusanyaji wa fedha za taka. Wananchi wanalalamikia kufikiwa na wakusanyaji wa ada hizo mara tatu au zaidi, huku wakipewa...
Mimi kama mtaalam wa psychology naona facial expression na body language inaongea mengi kuliko maneno
Toka yatokee ya Nchimbi naona moto wake umepoa mno
Kejeli, majigambo na kiburi cha madaraka...
madawa ya kulevya...Bangi,unga
Uuzaji wa viungo vya binadamu Figo,bandama,
uuzaji wa silaha kwa vikundi vya waasi,
Usafirishaji wa binadamu kwa ahadi ya kwenda kuwapatia maisha mazuri kumbe ni...
Nikiangazia kutokana na msingi wa first principle of thinking:
- Pesa ni token tu ambayo inatumika kama medium ya exchange na inawakilisha thamani ya vitu halisi. Lakini sio utajiri wenyewe.
-...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa...
Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na...
Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya...
Ni kosa la jinai kujadili kesi ambayo ipo mahakamani na kuitolea maoni na mapendekezo yako kwenye hukumu
Leo Mwaipopo anatumia media kutangazia umma kuwa Lissu afungwe au anyongwe
Majaji nao...
MAELEKEZO YA VITISHO KWA BWANA HARUSI SIKU YA HARUSI KUTOKA KWA WAKWE HASA MAMA WAKWE, SISI WATIBELI HATUTAYARUSU HATA KIDOGO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kila mtu akae kwenye mipaka yake...
TUACHE UNAFIKI KIDOGO, TUONGEE UKWELI.
Kuna kitu nimekuwa nikikiona sana kwenye maisha ya watu, na sijui kama ni mimi nimekiona au wengi tunakiona ila tunaogopa kusema.
Kwanini mtu akianza...
Kwenye list ni idadi ya kataa 10 zitakazopisha ujenzi wa ICD.
kama wewe ni miongoni wa wanaoishi kata hizo. Anza mapema kutafuta kiwanja bagamoyo, mvuti, kibaha, kongowe, chanika.