Nini kinaendelea kwenye Hifadhi za Wanyapori???

Nini kinaendelea kwenye Hifadhi za Wanyapori???

manlu

Member
Joined
Sep 16, 2026
Posts
94
Reaction score
167
Tabora imeripotiwa Askari wa Hifadhi kutoka TAWA wapatao sita wameuawawa na wananchi wenye hasira Kali.

Huko Arusha, imeripotiwa kwenye Hifadhi ya Wanyapori, Simba wapatao 10 wameuwawa.

Nini mtazamo wako???

Karibu kwa uchambuzi
 
Serikali hii ya CCM inaamini kwenye mabavu kuanzia kwa zimamoto, uhamiaji na hao TAMWA wote walipewa mamlaka ya kijeshi na CCM. Kwa hapo lazima kinuke mkuu
 
Tabora imeripotiwa Askari wa Hifadhi kutoka TAWA wapatao sita wameuawawa na wananchi wenye hasira Kali.

Huko Arusha, imeripotiwa kwenye Hifadhi ya Wanyapori, Simba wapatao 10 wameuwawa.

Nini mtazamo wako???

Karibu kwa uchambuzi
Tukio la Tabora si tukio la kwanza kutokea huko Tabora, tukio kama hilo liliwahi kutokea ambapo askari wa wanyamapori aliuawa kwa kushambuliwa kwa risasi wakiwa ndani ya gari lao.
 
Kuna issue huwa zinatokea, Serikali inajua sema wanajifanya hawajui..

Watu wa maliasili hasa misitu.. huwa wakati mwingine wanaingia tamaa..

Wanaona wafugaji wale pale..wanasubiri mifugo isogee hata hatua 3, Kisha wanakuja na AK-47 wanachukua mifugo kwa nguvu..
Baada ya hapo yanatengenezwa mazingira ya kutaka Hela, hii inategemea kiasi Cha mifugo walionayo..

Hapa inakuwa millioni 3 mpaka 5... Na Kuna sehemu wakirudisha wanasema tunabakiza kitoweo kimoja ..wanachinja wanakula nyama za Bure...
Wafugaji Wana hasira zinazosababishwa na maofisa wa misitu na mapori ya akiba...

Maofisa wamepewa Mamlaka ya kufanya chochote hata kuuwa wafugaji kwa kisingizio kuwa ni jangili
 
Back
Top Bottom