Ni DPW wanafidia auKwenye list ni idadi ya kataa 10 zitakazopisha ujenzi wa ICD.
View attachment 3673172kama wewe ni miongoni wa wanaoishi kata hizo. Anza mapema kutafuta kiwanja bagamoyo, mvuti, kibaha, kongowe, chanika.
Nimeona wameanza kuvunja majengoHizi story tu.
Wanafanya wananchi wasifikirie kuendeleza au kuuza maeneo yao tu.
Maana kutaja na kutenda vitu viwili tofauti
Serikali ya CCM ikupe mpunga wa kufa mtu? Labda kipigo cha kufa mtu.Aiseee ni neema sana hiyo maana mtavuta MIPUNGA ya kufa MTU.
Kuna jamaa yangu alitaka milioni 200 ngoja nimuuluize wamefikia wapiHao wananchi walifuatwa mapema na sijui ndio muwekezaji...
Wakaanza wengine walitaka b moja,, million200 mara million mia 300 hivyo yaani!. na hiyo ilikuwa ni mwaka Jana kwnye mwezi wa tano na hapo ni nyumba za baadhi ya mitaa zitaungwa na kuwa kitu kimoja.
sasa kuna baadhi walikwamisha ulipwaji kutokana na nyumba nyingine hazina hadhi hiyo nyumba nyinngine ukifanya tathmini haifiki hiyo gharama.....
Sasa naona mwarabu katonywa na dili limefika kwa wapigaji ngoja tuone watakavyolipwa.
Wanalipwa,waje mikoani!Kwenye list ni idadi ya kataa 10 zitakazopisha ujenzi wa ICD.
View attachment 3673172kama wewe ni miongoni wa wanaoishi kata hizo. Anza mapema kutafuta kiwanja bagamoyo, mvuti, kibaha, kongowe, chanika.
Wameanza wapi katika hizo kata 10 zilizotajwa?Nimeona wameanza kuvunja majengo
Karibuni sana MvutiKwenye list ni idadi ya kataa 10 zitakazopisha ujenzi wa ICD.
View attachment 3673172kama wewe ni miongoni wa wanaoishi kata hizo. Anza mapema kutafuta kiwanja bagamoyo, mvuti, kibaha, kongowe, chanika.
ahahaha 😂 😂 😂 😂Serikali ya CCM ikupe mpunga wa kufa mtu? Labda kipigo cha kufa mtu.
Weeee!!!! hyu jamaa yako kaponza wenzie kaleta u loyal kwenye hela!!!!Kuna jamaa yangu alitaka milioni 200 ngoja nimuuluize wamefikia wapi