TAG wameonesha ukomavu wa kiroho kwa kuamua kuachilia na kusamehe mali zake ambazo mahakama ilikuwa imetoa uamuzi zirejeshwe TAG.
Ifahamike kuwa EAGT pia ina mgogoro na makanisa mengi tu...
1. "Nimeamua kujiuzuru Kwa sababu nilikuwa mkaidi dhidi ya bosi wangu, ikapelekea kunipiga pini kila upande (kisaikolojia), hatimaye nikashindwa kupumua"
2. "Nimejiuzulu ila mimi na bosi wangu ni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi .
Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani...
Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma Mjini. Maji yamekuwa yakipatikana zaidi nyakati za usiku na kwa kusuasua. Wakati mwingine tunakaa hadi wiki nzima bila kupata...
Unazima moto kuzuia moto usiharibu nyumba inayo waka na kuokoa mali zilizomo ndani.
Tatizo walisahau nyumba ya udongo ukimwagia maji mengi inaporomoka na kuta zake zinaharibika, zinaporomoka...
Toka nitembelee na kuishi mikoa ya mwambao wa bahari hasa pwani, lindi na Dar.. Nimekutana na tabia mbaya sana kwa kweli, na hili hata sio la kuwalaumu watoto.
Ndugu zangu sijui kwanini hata...
UZI: Sextortion na Ngono : Mamlaka Zimezidiwa Kasi na Hili Bomu?
Wana-JF,
BIASHARA YA NGONO: Gesti Zageuka Studio za WhatsApp na 'Sextortion', Nani Atanusuru Kizazi Hiki?
Mbali na habari za...
Katika haya Maisha kuna up and down nyingi saana.
Unajikuta unapata Hela lakini mwisho wa siku inapotea unaanza upya Tena na kujipa Imani utatoboa Tena.
Huwa simcheki bro anaekoto makopo ili...
Kamisaa wa Mechi kajifanya kuwa very smart mbele ya Refarii ila kwa ile Derby yao ya mwanzo ya Oktoba 29 ambapo Refarii aliamua kuiamua mwenyewe Kimaamuzi huku Kamisaa akiwa ni Ndumilakuwili...
Japo upendo ni bora kuliko kila kitu ila pesa inaweza kuvunja kila kitu.
Nakumbuka hata mkoani nakotoka pesa inaweza kukufanya ukawa kama mungu mtu, kila mtu unaweza kumtuma na kumkoromea. Ukiwa...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amemwandikia Rais Samia Suluhu Hassan, barua ya kujiuzulu wadhifa huo, miezi michache baada ya kutoa kauli mbalimbali zenye utata.
Kabla ya...
Ukiona umeajili mfanyakazi anaamka saa kumi na mbili anaoga maji baridi , linanyoosha nguo, linabrashi viatu, anapiga mswaki, lakini anasaau kujisaidia haja kubwa anakuja kujisaidia ofisini jua...
Tuchukulie mbuzi, huyu ana matumbo 4, haya yanamuwezesha kula na kuhifadhi chakula, ndio maana unaweza kumkuta mbuzi sehemu haina majani lakini anatafuna.
Maana yake alikula majani mapema lakini...
Mlokua mnasubiri bei za umeme zishuke poleni...
Mnaosubiri eti hiyo siku ya uzinduzi atatangaza bei ya umeme kushuka kuanzia September mosi poleni
Hii habari nina uhakika nayo asilimia 100%...
1. ROMBO
a. Wachapa kazi - bulldozer
b. Wana upendo
c. Wabunifu sana kimaendeleo
d. Wana heshimu ndoa
e. Ulevi - hadi gongo na konyagi
f. Ushamba
g. Hawajui kupika
h. Wizi - Mnaposikia wachaga...