Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tabora imeripotiwa Askari wa Hifadhi kutoka TAWA wapatao sita wameuawawa na wananchi wenye hasira Kali. Huko Arusha, imeripotiwa kwenye Hifadhi ya Wanyapori, Simba wapatao 10 wameuwawa. Nini...
2 Reactions
8 Replies
316 Views
Anonymous
Katika eneo la Mbagala Kilungule, kuna changamoto kuhusu utaratibu wa ukusanyaji wa fedha za taka. Wananchi wanalalamikia kufikiwa na wakusanyaji wa ada hizo mara tatu au zaidi, huku wakipewa...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Mimi kama mtaalam wa psychology naona facial expression na body language inaongea mengi kuliko maneno Toka yatokee ya Nchimbi naona moto wake umepoa mno Kejeli, majigambo na kiburi cha madaraka...
10 Reactions
7 Replies
358 Views
madawa ya kulevya...Bangi,unga Uuzaji wa viungo vya binadamu Figo,bandama, uuzaji wa silaha kwa vikundi vya waasi, Usafirishaji wa binadamu kwa ahadi ya kwenda kuwapatia maisha mazuri kumbe ni...
12 Reactions
75 Replies
989 Views
Nikiangazia kutokana na msingi wa first principle of thinking: - Pesa ni token tu ambayo inatumika kama medium ya exchange na inawakilisha thamani ya vitu halisi. Lakini sio utajiri wenyewe. -...
13 Reactions
36 Replies
529 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa...
1 Reactions
0 Replies
176 Views
Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na...
0 Reactions
6 Replies
114 Views
Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya...
1 Reactions
3 Replies
71 Views
Ni kosa la jinai kujadili kesi ambayo ipo mahakamani na kuitolea maoni na mapendekezo yako kwenye hukumu Leo Mwaipopo anatumia media kutangazia umma kuwa Lissu afungwe au anyongwe Majaji nao...
7 Reactions
9 Replies
220 Views
MAELEKEZO YA VITISHO KWA BWANA HARUSI SIKU YA HARUSI KUTOKA KWA WAKWE HASA MAMA WAKWE, SISI WATIBELI HATUTAYARUSU HATA KIDOGO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kila mtu akae kwenye mipaka yake...
5 Reactions
16 Replies
296 Views
TUACHE UNAFIKI KIDOGO, TUONGEE UKWELI. Kuna kitu nimekuwa nikikiona sana kwenye maisha ya watu, na sijui kama ni mimi nimekiona au wengi tunakiona ila tunaogopa kusema. Kwanini mtu akianza...
5 Reactions
45 Replies
414 Views
Kwenye list ni idadi ya kataa 10 zitakazopisha ujenzi wa ICD. kama wewe ni miongoni wa wanaoishi kata hizo. Anza mapema kutafuta kiwanja bagamoyo, mvuti, kibaha, kongowe, chanika.
18 Reactions
55 Replies
1K Views
Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina...
7 Reactions
9 Replies
139 Views
SHAHADA HESHIMA YAKE IONEKANE KATIKA KAZI Adeladius Makwega – MBAGALA Nilipokuwa nasoma Chuo Kikuu katika Shahada ya Sanaa ya Habari, nilifundishwa somo lililoitwa Cultural Anthropology...
4 Reactions
7 Replies
171 Views
Hiki kitabu nilianza kusikia habari zake kupitia kwa Babu yangu kipenzi Mzee Moustapha Ameer, alikuwa mwandishi pia aliniambia kuna vitabu vingine si vya kusoma kwasababu hata wao kamwe hawakuwahi...
2 Reactions
18 Replies
610 Views
Imagine , chini ya Rais kuna Makamu wa Rais , pembeni kuna Waziri mkuu , chini ya Waziri mkuu kuna Mawaziri , chini ya Mawari kuna Manaibu Waziri , chini yao kuna Makatibu , chini ya makatibu kuna...
8 Reactions
17 Replies
207 Views
Nawaza tuu ,c unajua nimekunywa dawa za chenga chenga nahc usingizi Ni wizara ipi unaona waziri wake haendani na kasi au nani yupo inje ya baraza sasa ni mda muafaka alejeshwe ...hii home work...
1 Reactions
4 Replies
79 Views
Miaka kadhaa majira ya Saa 11.20 alfajiri nipo Ubungo Maziwa nasubiri dereva wa ofisi anipitie ili tuwahi kikao pale Manispaa ya Morogoro (Mji kasoro Bahari). Nikashangazwa kuona pale kituoni...
23 Reactions
97 Replies
2K Views
Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero...
5 Reactions
11 Replies
173 Views
Back
Top Bottom