hama!Tumelipia vifurushi vya mwezi lakini kila siku wanakata mtandao na kutuomba radhi lakini hakuna fidia juu ya muda wetu unaopita bila huduma
Kiukweli wateja wa Airtel tunaumizwa sana
Hamia Vodacom Tanzania hutojuta. Epukaneni na bidhaa za bei rahisi, zina gharama kubwa sana ndani yakeTumelipia vifurushi vya mwezi lakini kila siku wanakata mtandao na kutuomba radhi lakini hakuna fidia juu ya muda wetu unaopita bila huduma
Kiukweli wateja wa Airtel tunaumizwa sana
Bei rahisi nalipa laki 1 kila mwezi au ww voda unalipajeHamia Vodacom Tanzania hutojuta. Epukaneni na bidhaa za bei rahisi, zina gharama kubwa sana ndani yake
Kanji huyooSijui wako nyuma ya nani sijui yaani