chokambayaa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 548
- 74
Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo. nawasilisha