Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna maeneo ukienda kupata mtandao inakuwa kipengele sana, mtandao haushiki na ukishika ni kwa kuutafuta mpaka unatamani kulia, kama ni wa kuperuzi sana unashindwa kama ni mtu wa kufanya kazi...
0 Reactions
5 Replies
122 Views
Anonymous
Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Hellow wana JF. Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema...
42 Reactions
234 Replies
2K Views
  • Featured
Wakuu kuna hii video inako mtandaoni sijajua ni ya lini ila kwa kweli imenihuzunisha sana kwa matendo ya kikatili ambayo wanayapitia hawa Wananchi, na ninadhani huu ni ujumbe mkubwa kwa wenye...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni takribani siku ya tano sasa wakazi wa Mbezi Juu, maeneo ya Makonde, Jogoo pamoja na mitaa ya Salasala hatupati huduma ya maji, huku DAWASA ikiwa haijatoa taarifa yoyote kuhusu changamoto...
1 Reactions
2 Replies
81 Views
Kwenu NEMC; Ninaandika kuhusiana na wasiwasi wangu juu ya hali ya uchafu wa mazingira katika miji yetu. Inasikitisha kuona taka zikitapakaa barabarani, katika maeneo ya wazi, masokoni, kwenye...
1 Reactions
2 Replies
73 Views
  • Redirect
🦁 Vifo vya wanyamapori 🐄 Kupotea kwa mifugo kutokana na mashambulizi ya wanyamapori ☠️ Binadamu kulipiza kisasi kwa kuua wanyamapori 🌿 Uharibifu wa mazingira na makazi ya wanyamapori 💧...
0 Reactions
– Replies
– Views
Taarifa za awali kutoka eneo la Ndutu, Kata ya Endulen, Wilaya ya Ngorongoro, zinaeleza kuwa leo Septemba 19, 2026, simba wapatao 10 wameuawa katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kisasi baada ya...
7 Reactions
63 Replies
1K Views
Tabora imeripotiwa Askari wa Hifadhi kutoka TAWA wapatao sita wameuawawa na wananchi wenye hasira Kali. Huko Arusha, imeripotiwa kwenye Hifadhi ya Wanyapori, Simba wapatao 10 wameuwawa. Nini...
2 Reactions
8 Replies
315 Views
Anonymous
Katika eneo la Mbagala Kilungule, kuna changamoto kuhusu utaratibu wa ukusanyaji wa fedha za taka. Wananchi wanalalamikia kufikiwa na wakusanyaji wa ada hizo mara tatu au zaidi, huku wakipewa...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Mimi kama mtaalam wa psychology naona facial expression na body language inaongea mengi kuliko maneno Toka yatokee ya Nchimbi naona moto wake umepoa mno Kejeli, majigambo na kiburi cha madaraka...
10 Reactions
7 Replies
358 Views
madawa ya kulevya...Bangi,unga Uuzaji wa viungo vya binadamu Figo,bandama, uuzaji wa silaha kwa vikundi vya waasi, Usafirishaji wa binadamu kwa ahadi ya kwenda kuwapatia maisha mazuri kumbe ni...
12 Reactions
75 Replies
989 Views
Nikiangazia kutokana na msingi wa first principle of thinking: - Pesa ni token tu ambayo inatumika kama medium ya exchange na inawakilisha thamani ya vitu halisi. Lakini sio utajiri wenyewe. -...
13 Reactions
36 Replies
528 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa...
1 Reactions
0 Replies
176 Views
Na ndio maana kila uchwao, idadi ya watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaongezeka Tanzania mwaka hadi mwaka ukilinganisha na nchi zingine za maziwa makuu, ambazo shughuli za utalii na...
0 Reactions
6 Replies
114 Views
Msikilize Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi ,Haji Fundi Haji akiwasihi wananchi na wafanyabiashara Kata ya Bondeni kuimarisha suala la usafi wa mazingira huku akiweka mikakati ya...
1 Reactions
3 Replies
71 Views
Ni kosa la jinai kujadili kesi ambayo ipo mahakamani na kuitolea maoni na mapendekezo yako kwenye hukumu Leo Mwaipopo anatumia media kutangazia umma kuwa Lissu afungwe au anyongwe Majaji nao...
7 Reactions
9 Replies
220 Views
MAELEKEZO YA VITISHO KWA BWANA HARUSI SIKU YA HARUSI KUTOKA KWA WAKWE HASA MAMA WAKWE, SISI WATIBELI HATUTAYARUSU HATA KIDOGO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kila mtu akae kwenye mipaka yake...
5 Reactions
16 Replies
295 Views
Back
Top Bottom