Tunaomba mtupazie sauti sisi mabaharia wa meli za Marekani, baada ya Marekani kuweka baadhi ya nchi kwenye orodha ya nchi zilizowekewa vikwazo vya kuingia Marekani (restricted countries)...
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kikoboga, Mikumi – Morogoro umefikia asilimia 75. Uwanja huo wenye njia ya ndege yenye urefu wa kilomita 1.8 utakuwa na jengo la abiria lenye uwezo wa kuhudumia watu...
Huwa ni nawashangaa sana wanaokimbiza na kazi na mafanikio yasiyo na maana kwao.
Mtu unasoma mpaka degree ili upate kazi uweze kuwa please jamii, ununue ki IST cha kuvimbia kitaa, yaani una...
Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline 🫵, sasa itakua haiwezekani tena.
Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory)...
Kwa upande wangu jambo ambalo ni kero kubwa huwa kuna mkanganyiko wa tarifa nikiwa na tembelea profile yangu huwa inaleta tarifa zisizo zangu kwenye (Thread, Reaction na Replies )
Tunaomba...
Ni ajali ya roli la mafuta na gari ya Polisi , Polisi wote waliokuwa ndani ya gari yao wamekufa wote hapo hapo.
Dereva wa roli na tingo wake wameokolewa na Wananchi wametoka salama japo...
Nimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza.
Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha...
Kadri unavyokua, kuna jambo moja linakuja taratibu na linatoa amani sana: unaacha kuishi kwa ajili ya kuwathibitishia watu kwamba maisha yako yanaenda vizuri.
Unaacha kuona lazima kila mtu ajue...
Yeah.. kama Hali ndio hii na mood swings za hapa na pale, Kuna namna mzee naye alimvumilia ... Ndio maana magufuli alikuwa ni one man Army kila mahali yumo ,hakutaka kutumatuma . Alienda mwenyewe...
Moto mkubwa umetokea usiku wa kuamkia leo, Septemba 21, 2026 katika Soko la Machinga jijini Dodoma na kuteketeza vibanda pamoja na mali za wafanyabiashara, huku chanzo cha moto huo kikiwa bado...
Ujenzi wa Skimu za Umwagiliaji za Ludugumo na Mwamapuli katika Wilaya za Nzega na Igunga, Tabora, unaendelea kwa lengo la kuongeza eneo la kilimo kutoka hekta 173 hadi zaidi ya 4,000 na kunufaisha...
Tuwe wakweli wa nafsi zetu, ukilinganisha Zanzibar Vs Tanganyika, utagundua kuwa Watanganyika hatupendani wala hatuipendi Tanganyika. Mfano, Leo hii Zanzibar, Mwinyi "angemficha" makamu wake au...
Jumuiya ya Madola kupitia Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake...
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umekusanya Tsh. 150.04 bilioni kutokana na tozo za matumizi ya Daraja la Nyerere Kigamboni katika kipindi cha miaka 10 tangu lilipoanza kutumika Mei 2016...
Juma Msambilia , Jux tangu abalehe amekuwa na wanawake wengi kingono kabla ya kuja kuoa Priscilla.
Wanawake hao , wengi wameolewa ila Jux anajua miili yao maana alikuwa analala nao, anaoga nao...
Huenda usinielewe ajira ni utumwa just imagine
1. Mwalimu Mpwayungu Village anaamka asubuhi anaoga na kuwahi shuleni kufanya jambo lile lile year and years
2. Daktari na nesi anaamka asubuhi ama...
Wakuu,
Ukisikia kuahibika ndo leo. Niko kwa mgahawa hapa, nishaagiza chakula nataka kulipia kwa MPesa mtandao haushiki! Na huko iko hivyo au ni kwangu tu?
Ukisikia kwenda kuosha vyombo ndo leo...
Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.