Endapo ukijua hili basi utakuwa huru

Endapo ukijua hili basi utakuwa huru

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
13,630
Reaction score
26,538
Huwa ni nawashangaa sana wanaokimbiza na kazi na mafanikio yasiyo na maana kwao.

Mtu unasoma mpaka degree ili upate kazi uweze kuwa please jamii, ununue ki IST cha kuvimbia kitaa, yaani una chase status kisa unaona bila hicho hauna maana!

No wonder watu wa narudia kufanya kazi zile zile na kubaki na maboss kandamizi for their mental wellness kisa kale ka laki 9 anako take home nako kasipotee..

Ila akipiga mahesabu anajua hata kujenga hawezi akiendelea hivyo.

Ni kwanini? Ni kwa sababu ndicho kitu ulicho kiona na inabidi ukirudie.

Uhuru wako hauko bound kwa kazi na cheo wala hiyo IST unayoimiliki. Watu wanaingiza katika ndoa just because kaka na dada zao wameoa.

Yaani mtu mzima mwenye akili timamu, unaenda kufanya kitu usicho kipenda kwa miaka 50 straight?

Ndugu zangu, sometimes ni sisi wenyewe tunajitakia, hakuna aliye ishika akili yako na mawazo yako. Kwanini ufungwe katika kifungo cha system za kijamii zenye kukukandamiza nafsi yako?

Unashangaa mtu mzima kabisa, wanafamilia na anaingiza kipato kizuri ila a Nashindwa kujinasua kwa sababu wanaogopa ku take risk...

Hakuna kitu inakuja kirahisi na hakuna mtu a najijua vyema bali wewe,

Katika harakati za kujinasua katika Kurudi kitu kile kile kwa miaka 50 nimegundua ili kutoka lazima u cut off, watu na wewe mwenyewe umchukue risk consecutively.

Uwe na uwezo wa ku choma hata 50M na usijutie maana unakuwa on the right direction. Sasa leo mtu unamwambia risk kama hiyo Anakuona delusional.

No one is coming to save your ass, man up and get out the chains your own mind.

Blue Monday hii Wacha mapambano yaendelee.
 
Lakini kila taifa linahitaji wataalamu engineers, MDs, walimu n.k

Hata kama wanafanya vitu vilevile kwa miaka 30+ tunawashukuru sana kwa huduma zao

Labda ungesema serikali ya CCM iwaongezee mishahara au marupurupu kuwapa motisha zaidi
 
No wonder watu wa narudia kufanya kazi zile zile na kubaki na maboss kandamizi for their mental wellness kisa kale ka laki 9 a ako take home nako kasipotee..

Ila akipiga mahesabu anajua hata kujenga hawezi akiendelea hivyo.

Ni kwanini? Ni kwa sababu ndicho kitu ulicho kiona na inabidi ukirudie.

Uhuru wako hauko bound kwa kazi na cheo wala hiyo IST unayoimiliki. Watu wanaingiza katika ndoa just because kaka na dada zao wameoa.

Yaani mtu mzima mwenye akili timamu, unaenda kufanya kitu usicho kipenda kwa miaka 50 straight?

Ndugu zangu, sometimes ni sisi wenyewe tunajitakia, hakuna aliye ishika akili yako na mawazo yako. Kwanini ufungwe katika kifungo cha system za kijamii zenye kukukandamiza nafsi yako?

Unashangaa mtu mzima kabisa, wanafamilia na anaingiza kipato kizuri ila a Nashindwa kujinasua kwa sababu wanaogopa ku take risk...

Hakuna kitu inakuja kirahisi na hakuna mtu a najijua vyema bali wewe,

Katika harakati za kujinasua katika Kurudi kitu kile kile kwa miaka 50 nimegundua ili kutoka lazima u cut off, watu na wewe mwenyewe umchukue risk consecutively.

Uwe na uwezo wa ku choma hata 50M na usijutie maana unakuwa on the right direction. Sasa leo mtu unamwambia risk kama hiyo Anakuona delusional.

No one is coming to save your ass, man up and get out the chains your own mind.

Blue Monday hii Wacha mapambano yaendelee.
Umeandika kwa hisia na siyo uhalisia
 
Hakuna MTU anayonywa ila watu wanakulipa kutokana na Value unayotoa

Ndo maana Dakika anazocheza Messi ni zilezile na wachezaji wenzake ila Messi analipwa tofauti

Is about value you bring on the table.
The value you are talking about doesn't come from doing robotic acrivities

It comes from doing things that allows you to bring something on the table..

Mbona haujatolea mfano mfanyakazi wa kiwanda I anayerudia kile kile kama mashine?

On the other side of the coin, uko sahihi kila mtu anajua anachokipenda
 
Lakini kila taifa linahitaji wataalamu engineers, MDs, walimu n.k

Hata kama wanafanya vitu vilevile kwa miaka 30+ tunawashukuru sana kwa huduma zao

Labda ungesema serikali ya CCM iwaongezee mishahara au marupurupu kuwapa motisha zaidi
Hata mimi Sikuwasema hao mkuu

Nilicho kisema na wale walio ingia for the sake of external validation and not real vocation na passion. Na tena hao ndio huwa na mchango mkubwa sana maana huwa wanaenda extra miles kufanya vitu vikubwa kwenye career yako.

Swala la mshahara sio langu, kuna factors nyingi sana ikiwemo uchumi.
 
Basi haina shida kwao kama ni kitu ambacho haki waletei karaha maishani mwao.

Napenda kuona mtu anafanya kitu anacho kipenda na sio kwa ajili ya kuingia kifungoni kuplease jamii inayomzunguka.
yani maisha yana ujinga sana, unachokiona hiki bora kwa mwingine si bora.
yan ni shaghalabaghalaa🙃
 
Nilicho kisema na wale walio ingia for the sake of external validation and not real vocation na passion
Kwa hiyo mfanyakazi akinunua IST na kujenga nyumba kwako unahukumu kama external validation?

Kwa hiyo akienda kazini apande daladala au bodaboda na miaka yote aishi nyumba za kupanga?

Hakuna mtu anayefanya interview na kufaulu kwa sake of external validation hayo ni matokeo ya matumizi ya mshahara wake

Mzee inaonekana una wivu sana na watumishi, lakini hao hao wafanyakazi ndio wateja wako pale dukani kwako

Acha watu waajiriwe hiyo unayoita external validation inaongeza mzunguko wa pesa kwenye uchumi

Uchumi wa kununua matoleo mapya ya Land Cruiser na kulipana posho zenye thamani ya mishahara ya kada zingine upo?
 
sahihi kabisa
Ila belief sio kwamba ndio uko sahihi, bali ni kike unacho kiamini either nit true or not true. Belief ndio funguo so kama belief inakukead kwenye positve endelea kuifata kama inakua lead kwenye negative badili
 
Huwa ni nawashangaa sana wanaokimbiza na kazi na mafanikio yasiyo na maana kwao.

Mtu unasoma mpaka degree ili upate kazi uweze kuwa please jamii, ununue ki IST cha kuvimbia kitaa, yaani una chase status kisa unaona bila hicho hauna maana!

No wonder watu wa narudia kufanya kazi zile zile na kubaki na maboss kandamizi for their mental wellness kisa kale ka laki 9 anako take home nako kasipotee..

Ila akipiga mahesabu anajua hata kujenga hawezi akiendelea hivyo.

Ni kwanini? Ni kwa sababu ndicho kitu ulicho kiona na inabidi ukirudie.

Uhuru wako hauko bound kwa kazi na cheo wala hiyo IST unayoimiliki. Watu wanaingiza katika ndoa just because kaka na dada zao wameoa.

Yaani mtu mzima mwenye akili timamu, unaenda kufanya kitu usicho kipenda kwa miaka 50 straight?

Ndugu zangu, sometimes ni sisi wenyewe tunajitakia, hakuna aliye ishika akili yako na mawazo yako. Kwanini ufungwe katika kifungo cha system za kijamii zenye kukukandamiza nafsi yako?

Unashangaa mtu mzima kabisa, wanafamilia na anaingiza kipato kizuri ila a Nashindwa kujinasua kwa sababu wanaogopa ku take risk...

Hakuna kitu inakuja kirahisi na hakuna mtu a najijua vyema bali wewe,

Katika harakati za kujinasua katika Kurudi kitu kile kile kwa miaka 50 nimegundua ili kutoka lazima u cut off, watu na wewe mwenyewe umchukue risk consecutively.

Uwe na uwezo wa ku choma hata 50M na usijutie maana unakuwa on the right direction. Sasa leo mtu unamwambia risk kama hiyo Anakuona delusional.

No one is coming to save your ass, man up and get out the chains your own mind.

Blue Monday hii Wacha mapambano yaendelee.
naunga mkono hoja 🤝
 
Back
Top Bottom