mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,735
- 22,221
Yeah.. kama Hali ndio hii na mood swings za hapa na pale, Kuna namna mzee naye alimvumilia ... Ndio maana magufuli alikuwa ni one man Army kila mahali yumo ,hakutaka kutumatuma . Alienda mwenyewe .
NB:madarka yalivyo matamu huwezi niambia na kuni shawishi nikaelewa wafilipi de la planer na katelephone wastaafu siasa wakati umri wao kibongobongo una dai waendelee kuwepo kwenye gemu... Kuna namna mahali .
Mtu anaamua kuliko ajionee vituko na kubaraguzwa anaona acha a left meza kuu ya chakula kwa kuomba udhuru.