Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,385
- 100,492
Tuwe wakweli wa nafsi zetu, ukilinganisha Zanzibar Vs Tanganyika, utagundua kuwa Watanganyika hatupendani wala hatuipendi Tanganyika. Mfano, Leo hii Zanzibar, Mwinyi "angemficha" makamu wake au waziri yoyote, unadhani Zanzibar pangekalika? Leave alone ukweli kuwa hawezi kufanya hivyo ila je ingetokea, Zanzibar pangekalika?
Leo Hii Mwigulu Nchemba na Kitila Mkumbo ambao wanatoka eneo karibia moja na Lissu, wamemchongea na kumuacha ateketezwe na mzanzibari. Sijazungumzia Nchimbi, Ally Kibao na Vijana wengine wengi waliopotezwa. Kwani tumefikaje hapa??
Angalia sehemu nyeti zote wamejaa wazanzibari kila sehemu, last time nimepanda SGR, nimeshangaa hadi security posts zote wamejaa wapemba.... leo asubuhi nimekutana na Nissan Juke ina namba za Zanzibar, plare number ina bendera ya Zanzibar, nikajiuliza, ya Tanganyika iko wapi??
wacha niishie hapa ila....
A