Mwana JF nini kina kukera unapotumia app ya JF

Mwana JF nini kina kukera unapotumia app ya JF

  • Thread starter Thread starter guest-1790964445
  • Start date Start date
G

guest-1790964445

Guest
Kwa upande wangu jambo ambalo ni kero kubwa huwa kuna mkanganyiko wa tarifa nikiwa na tembelea profile yangu huwa inaleta tarifa zisizo zangu kwenye (Thread, Reaction na Replies )

Tunaomba mamlaka iboreshe kero hiišŸ™
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Back
Top Bottom