de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 12,483
- 24,796
Hivi unajiskiaje uki abstain addiction kwa muda mrefu then siku moja haja zikuzidi na ujikute umerelapse?
Aisee leo nimerelapsa na porn addiction yangu muda wa asubuhi niliamka na urges mbaya sana na ninajihisi maumivu ya kuji hukumu, ndugu zangu katika kuacha addiction, kuna muda unajikuta hali si hali..
Nime patwa na regrets mbaya sana, nuru imepotea ila, najua it's part of the game. Kama nimeweka kukishinda pepo la ngono na wanawake wa watu hili nalo nitalishinda.
Je, siku uliyo relapse ili kufanya kukata tamaa au ulipiga moyo konde kujua kuwa it's part of the process, kushinda urges za mwili.