Jau: Limetokana na neno "kujazia" au "kuzingua". Linamaanisha mtu asiyekuwa mnyoofu, anayeleta usumbufu, anayebana mambo, au asiyetabirika kwa tabia zake za kero.Hili neno nimewasikia sana vijana wa Daslamu wakilisema ila sijawahi kuelewa maana yake ni ipi?
Nini maana ya neno "JAU" ?
HOVYO HOVYO km ni mtu wa HOVYO watu wa kusini wanaita ZAMWAMWA yaan maana yake JAUNini maana ya neno "JAU" ?
oooh yule wa "wauni bagalaaa wauni temeke" 😅Unataka nitaje kichogo tu si ndio?🤔 Yule wanae wa mbagala na longoni
Sitaki kushiriki dhambi zako home g 🤣oooh yule wa "wauni bagalaaa wauni temeke" 😅
nimempata
jau ni lugha ya kimtaa,ikimaanisha kuwa ni nzuri sawa na imbeju inavyo tumika vibaya,mfano aisee hii issue imbeju sanaHili neno nimewasikia sana vijana wa Daslamu wakilisema ila sijawahi kuelewa maana yake ni ipi?
Nini maana ya neno "JAU" ?
😅😅😅 sauti yake imeload kichwani aseee,,, hivi yupo wapi saivi simskiii kabisaSitaki kushiriki dhambi zako home g 🤣
TupumzisheMtu anayefanya UBATILI