Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 917
- 597
Habari Wana Jf!
Niende moja kwa moja kwenye Mada. Katika harakati za ukamalia,maarufu kama betting huko kwenye cannell za what's App,nikajiunga na channel moja iliyo jiita "Free correct score ". Kwenye hiyo channel adimn ni mbongo anatoa mikeka miwili ya correct score bure kila siku. Alikuwa anatuma na link ya kujiunga ni SkyBetMax.com. kweli alikuwa anaonyesha mikeka inawin kila siku.
Basi nami nika jiunga,baada ya kujiunga picha lina anza kudsposit ni kuanzia Tsh=/60,000. Kutokana na Tamaa,>nikajiunga nikadeposit na kuweka stake ya 60,000 odds 65. Mzee kweli mkeka ulitiki Nikala kama 4.5+M.kwenda kwenye kutoa inagoma na andikiwa upgrade your account to enable withdrawal. Oyaa ! Nika mcheki jamaa kwenye channel akaniambia fuata maelekezo haya lipa Tsh/ 465000= Uta weza kutoa. Nikaona huu wizi huu. Nika wacheki bord ya michezo ya kubahatisha Tanzania.
Wakasema tuma details ya hiyo kampuni nikatuma ,wakasema hao matapeli hawajasajiliwa Nchini. Nikaona basii wacha niendelee kuichezea tu mpaka ikafika Billion 155+. Kuna mwana akajitokeza akasema hiyo issues ndogo tuma vitambulisho vya NIDA ku upgrade hapo ni kuverfy akaunti yako kwa NIDA nikamtumia akaniambia husinipe hata Mia malipo utanipa baada ya kazi yes mtu si ndo huyo.
Kweli bhana baada ya kumtumia nikapokea ka imail your akaunti verified now yu can make withdrawal. Nika ruka chapu kwenye akaunti nika toa 5M ,ika toka lakini kwenye simu haikuingia nika mcheki jamaa tena hakuamini alikuwa jijini yeye anajiita mkali wa scammers, akaja tukaonana akashika simu zama tena skybetmax.com, akatoa 5M kwa pamoja ika katwa kwenye akaunti lakini kwenye simu haiku ingia, jamaa haku amini ! Akatoa 7M kwa pamoja, hapohapo ikarudi kama mwanza upgrade your account to enable withdrawal. Jamaa alipambana lakini wapi akadiriki mpka kulipia lakitatu hapo ana waza Bilioni 155. Lakini wapi mpaka kesho na kesho kutwa.
TAHADHARI
KUWENI MAKINI NA MAKAMPUNI FAKE YA KUBETI YANAYO TOA MECHI AMBAZO HAZIPATIKANI KWENYE MAKAMPUNI MENGINE YA KUBETI.
MIE LAKI TATU NA 60 ZIME EENDA.