TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

Stunnaman008

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
390
Reaction score
438
fat.jpg

1790016717167.jpeg

1790016750409.jpeg

Inna lillahi wa Inna ilayhi rajioon

May Allah Ta’ala grant her and all marhoomeen total Maghfirah and Jannatul Firdaus

May Allah Ta’ala grant all the bereaved Sabrun Jameel and Aafiyah

Aameen
Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026.

Taarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ambapo amesema kimetokea Mbweni usiku huu.

Mama Fatma Karume alizaliwa Februari 2, 1929, Bumbwini Misufini, Mkoa wa Kaskazini Unguja, na baadaye akaolewa na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ambapo mbali na kuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mama Fatma anatajwa kuwa miongoni mwa Wanawake walioshiriki katika harakati za kisiasa Zanzibar.

Mama Fatma pia ni Mama wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, aliyeiongoza Zanzibar kuanzia mwaka 2000 hadi 2010.
 
Hapana, Bi Fatma Karume hajafariki dunia. Taarifa zote zilizopo hadi sasa, ikiwemo kuonekana kwake hadharani hivi karibuni mnamo Septemba 2026, zinathibitisha kuwa yuko hai na anaendelea na shughuli zake.
JamiiCheck
Nadhan anamaanisha bibi wa shangzi, mke wa Abed Karume na,si mtoto wa Aman karume anaejulikana kama shangazi
 
Back
Top Bottom