Ndoto ipi hutakuja kuisahau?

Ndoto ipi hutakuja kuisahau?

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
1,004
Reaction score
1,163
Ndoto imekuwa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu na hata wanyama huota ndoto kutokana na shughuri zao za kila siku...!!

Binadamu tumeungwa katika ulimwengu ambao unaweza kutujulisha yajayo na ndio maana watu hutabiri na kuona maono ya matukio yajayo.

Mungu huongea katika ndoto na hata shetani huwapa ishara watu katika ndoto kwa hiyo inategemeana na wewe binasfsi umeuruhusu ulimwengu upi kutoa taarifa kwako...!!

Je ni ndoto ipi ambayo huwezi kuisahau na pengine ilikuja kuwa kweli ( tokea) au bado haijatokea?

Binafsi niliota Mama Yetu Kipenzi Mama na Rais wetu Samia Suluhu amefika nyumbani na akiwa ameketi na walinzi wake akifanya shughuri mbalimbali na baada ya kuwauliza wajuzi wakasema 'Naweza kupata mafanikio katika mwaka wake wa uongozi au kuteuliwa kuwa kiongozi katika serikali yake' NASUBIRI ; wewe je ndoto usioisahau ni ipi???
 
mafanikio kwa kuota unatembelewa na liuwaji?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom