Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,320
- 6,868
Kwanza niseme tu mimi siungi mkono ushoga lakini pia namuomba sana Mungu aniepushe mimi na kizazi changu kwenye hali yoyote inayohusu LBGTQ
Watu wanaopromote ushoga ndio wetu ambao wanaongoza uchumi wa dunia, mamlaka ya dunia na maamuzi katika huu ulimwengu
Watu wote ambao wanapiga ushoga hadharani matokeo yao huwa ni vifo vya ajabu kwasababu
Wapo
Watu wenye vyeo na uchumi mkubwa ambao kazi yao kubwa ni kupromote ushoga.
Sasa kwa hali ya maisha ya dudu baya ukizingatia na hii nchi ilivyo dudu baya umeingia cha kike
Walikuacha uliposema kuhusu MRI na setscan za pale muhimu ili mana ulileta aibu kwa taifa
Sasa umeingia kwenye 18 pole sana
Yu beta wachi yua baki
Mwisho napinga sana ushoga