Nifanyeje wakuu

Nifanyeje wakuu

Hellow guys!!!
Nimejaribu kufungua kufuri hapa aina
Gussam limekataa kufunguka, nifanyeje wakuu.......
Hatua ya kwanza na salama zaidi ni kuweka kilainishi ndani ya tundu la ufunguo na kwenye miguu ya chuma ya kufuli hiyo.

Unaweza kutumia poda ya graphite inayotokana na kusugua mkaa wa penseli ya kawaida, mafuta mepesi ya cherehani, au hata spray ya WD-40 kama unayo karibu.

Kilainishi hiki husaidia kuziachanisha pini za ndani ambazo mara nyingi hukwama kutokana na mkusanyiko wa vumbi au kutu ya muda mrefu.
 
asante sana mkuu vp kuhusu mafuta ya kupikia..... maana ndio niko nayo karibu nimejaribu kuweka ila bado tu funguo inazunguka kidogo tu inakwama.
 
Options nyingine tafuta mshuma uwashe halafu ule moto uuelekeze kwenye tundu lakupitishia ufunguo uwakie kwenye tundu, likiwa limechememka tafuta kitu uweke chakuvutia (sio kwenye tundu) pale pakufungia
 
Asante mkuu....noted well!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom