Hivi kuna mtu bado anazipuuzia English medium schools?

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,476
Reaction score
9,791
Tundu lissu Alisha wahi kulalamika, mawakili Fulani kingereza chao hakikua vizuri, mwingine akaenda mbali kumbe zile international case zinatubwaga huenda lugha, ukiona mzazi anatoa mamilioni fedha ana maana yake

Mtu anataaluma ya habari, lakini hawezi kuhoji Kwa kingereza lakin huyu mtu ana taaluma yake? Kumbuka kipindi kile Rick Ross kaja, wakamsusia vmoney na hawa wa Jana changamoto tupu
 
Kwa sasa ujio wa Ai, hata aliyesoma St kayumba, kwa bidii zake binafsi anaweza kuzungumza lugha ya Malkia vizuri tu.
Usijidanganye kuijua lugha na kizungumza ni mambo mawili tofauti nenda Zanzibar Kwa wale Masai, wa beach wanaelewana na watalii vizuri kabisa waambie waandike kike wanacho kizungumza mdomoni mwao ucheke mpaka ufe, Masai anaitamaka water akimanisha maji mwambie aiandike hiyo water ucheki anavokimbia
 
Tundu lissu Alisha wahi kulalamika, mawakili Fulani kingereza chao hakikua vizuri, mwingine akaenda mbali kumbe zile international case zinatubwaga huenda lugha, ukiona mzazi anatoa mamilioni fedha ana maana yake
Lugha ni muhimu lakini maarifa ndo bora zaidi. Wachina wengi hawajui kiingereza lakini wametumia kichina kutengeneza teknolojia ambayo imewapa maendeleo.
Hizo international case hatushindwi kisa Lugha bali ni vifungu vya mikataba. Mikataba mingi ilikuwa inasainiwa kimagumashi na wamiliki wengibwabongo wanaojipa ukimataifa.
 
Kuhusu wachina kutokujua kingereza upo sawa kabisa na ina wacost tusomesheni watoto lugha, nilikia site ya waturuki kwenye ujenzi wa ghorofa refu pale karafuu state, sasa wale waturuki wakaagiza mtambo kutoka Kwa mturuki mwenzao waje wamwage zege, kwenye mida kama ya kumi jioni zikaja gari kupiga kazi zile gari zilikua ni za wachina wanadai wamepewa maelekezo walete gari hapo site mchina anaongea kiswahili na kichina ila hajui kingereza, mturuki aliekuwepo anasimamia site hajui kichina na kiswahili ila ana jua kingereza baba eeeh iligeuka kituko hawaelewani mturuki anaongea kingereza mchina hamuelewi wao ni ma engineer lakini lugha zao ni gongano sasa ikabidi security wa pale ndio awe middle men kiwatafsiria lakini yule security nae lugha ya kingerezA hajui vizuri ikawa kituko zaidi baadae sisi kufika ndio kuwasikiliza tukagundua mchina akakosea site sio hapo ni mbele kule hahaaaaaaaaaaaaa🤣
 
Usijidanganye kuijua lugha na kizungumza ni mambo mawili tofauti nenda Zanzibar Kwa wale Masai, wa beach wanaelewana na watalii vizuri kabisa waambie waandike kike wanacho kizungumza mdomoni mwao ucheke mpaka ufe, Masai anaitamaka water akimanisha maji mwambie aiandike hiyo water ucheki anavokimbia
Ukiishi znz na usijue kuzungumza kingereza huo ni uzembe wako🙌,
 
Tundu lissu Alisha wahi kulalamika, mawakili Fulani kingereza chao hakikua vizuri, mwingine akaenda mbali kumbe zile international case zinatubwaga huenda lugha, ukiona mzazi anatoa mamilioni fedha ana maana yake

Mtu anataaluma ya habari, lakini hawezi kuhoji Kwa kingereza lakin huyu mtu ana taaluma yake? Kumbuka kipindi kile Rick Ross kaja, wakamsusia vmoney na hawa wa Jana changamoto tupu
Ni nyani mweusi km wewe ndiyo anahusudu lugha za watu. Kule Ujerumani, Russia, China, Japan, Ufaransa wameendelea wanatumia hicho lugha? Una-promote hiyo lugha labda una ka-English medium. Hata hivyo hivi viinglish medium vya Bongo wanatoka watupu, mtoto akitoka tu mlango wa darasa ni kiswahili mpaka home, walimu wanaowafundisha hawajui kiingereza. Tuboreshe lugha yetu ya Taifa acheni kushobokea lugha ya watu.
 
Lugha ni muhimu lakini maarifa ndo bora zaidi. Wachina wengi hawajui kiingereza lakini wametumia kichina kutengeneza teknolojia ambayo imewapa maendeleo.
Hizo international case hatushindwi kisa Lugha bali ni vifungu vya mikataba. Mikataba mingi ilikuwa inasainiwa kimagumashi na wamiliki wengibwabongo wanaojipa ukimataifa.
Siyo China, Japan, Ujerumani, Ufaransa wanatumia hicho kiingereza? Waafrica ni viumbe vya kuburuzwa tu!
 
Ni nyasi mweusi km wewe ndiyo anahusudu lugha za watu. Kule Ujerumani, Russia, China, Japan, Ufaransa wameendelea wanatumia hicho lugha? Una-promote hiyo lugha labda una ka-English medium. Hata hivyo hivi viinglish medium vya Bongo wanatoka watupu, mtoto akitoka tu mlango wa darasa ni kiswahili mpaka home, walimu wanaowafundisha hawajui kiingereza. Tuboreshe lugha yetu ya Taifa acheni kushobokea lugha ya watu.
Mahali unapofanyia kazi ndio inakulazimu ujue lugha hizi. Acha kuwa rigid. Tanzania ya sasa siyo ile ya Nyerere. Tuna muingiliano wa watu kutoka mataifa tofauti na lugha inayowaunganisha kwa haraka ni English. We mwenyewe shahidi juzi kati kuna msanii kaitwa na Yevone Chaka Chaka kwenye jukwaa aseme kitu akashindwa.
 
Nina wasiwasi kama huyo jamaa ni msomi anasema kingereza hakina maana, basi tuko na hatarini, na kama huyu ni kiongozi sehemu yeyote serikalini basi nchi kwishaaaaaaaa, huyu jamaaaa ni zaidi ya popoma, yani mtu kwenye dunia ya Leo anasema Kwa ujasiri English is nothing, nimeliaaaaaaaa sanaAaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Ni nyani mweusi km wewe ndiyo anahusudu lugha za watu. Kule Ujerumani, Russia, China, Japan, Ufaransa wameendelea wanatumia hicho lugha? Una-promote hiyo lugha labda una ka-English medium. Hata hivyo hivi viinglish medium vya Bongo wanatoka watupu, mtoto akitoka tu mlango wa darasa ni kiswahili mpaka home, walimu wanaowafundisha hawajui kiingereza. Tuboreshe lugha yetu ya Taifa acheni kushobokea lugha ya watu.
Samahan mkuu NAOMBA nijue una jishughulisha na Nini, je ni muajiriwa wa serikalini? Nimeliaaa sanaaa hatuko salama kama we naye ni msomiiiiii, tumekwishaaaaaaa, yani kwishaaaaaaaaa ni kiumbe mjinga sanaaaaaaaaaaaa, yani kwishaaaaaaaaaaa, tuna wasomi wajinga sanaaaaaaa lissu alikua mbele ya muda unaenda mahakama za kimataifa unaaanza zisi, zati, yes, no,

Uzinduz wa royal tour Arusha, masikini mzungu akiongea watu wanashindwa kujua walie wapige makofi au wafanyaje shida tupu hawamuelewi, Robert Mugabe kipindi anatafuta uhuru wa Zimbabwe Kwa wazungu Kwa sababu wengi walikua hawajui lugha akawa anatumia mabango yes and no, ili kiwarahishia reply ya haraka hawa wengine.

Nimeenda Arusha soko la madini Masai wanafanya biashara za ruby eti ukimwambia aiandike ruby hajui anachukia, we unasapoti? We ni popomaa.
 
Angalia hii picha nambie ni matatizo mangapi huyu dogo akiamua kuwachomesha Putin na xi wa china, anachoma kambi fasta?
 
Attachments

  • Screenshot_20260912-141007.jpg
    Screenshot_20260912-141007.jpg
    55.2 KB · Views: 11
Unalipa mamilioni ili ujue lugha!!?kwani ili uelewe lugha lazima ulipe mamilioni!!?vitabu havipo!?walimu hamna!?hizi past tense ndio zikulipishe ada!!?

Kiingereza ni lugha kama nyingine na Kila MTU atakizungumza kwa lafudhi ya lugha mama alipokulia kama ilivyo kwa Americans, Englishmen,Russia,sukuma etc!!

Kiingereza sio lugha ya kulipishana mamilioni!!
 
Back
Top Bottom