AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,017 Reaction score 5,146 Sep 23, 2026 #1 Je mfano UTV,ITV,WASAFI TV,NK ni member wa jf na siku moja wakaposti taarifa moja humu kwenye jukwaa lenu je mtaunganisha uzi?
Je mfano UTV,ITV,WASAFI TV,NK ni member wa jf na siku moja wakaposti taarifa moja humu kwenye jukwaa lenu je mtaunganisha uzi?
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 2,798 Reaction score 5,910 Sep 23, 2026 #2 Hawa wajinga wamezingua sana Leo.
AI BRAINFULL JF-Expert Member Joined Oct 31, 2019 Posts 2,017 Reaction score 5,146 Sep 24, 2026 Thread starter #3 Inabidi MELO apewe taarifa kua vijana wake wanaharibu nyuzi za watu kwa kuziunganisha bila ruhusa zao na kuwatesa wachangiaji
Inabidi MELO apewe taarifa kua vijana wake wanaharibu nyuzi za watu kwa kuziunganisha bila ruhusa zao na kuwatesa wachangiaji
Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 3,179 Reaction score 6,038 Sep 24, 2026 #4 Wametuharibia mtiririko wa kesi inayoendelea, sasa hivi tumehamia WhatsApp, wakati humu ilikuwa imekaa poa sana
Wametuharibia mtiririko wa kesi inayoendelea, sasa hivi tumehamia WhatsApp, wakati humu ilikuwa imekaa poa sana