SIR MGAX
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,685
- 2,842
Kwanini hawa wadudutu wamekuwa wakali kiasi hiki.
Mbona ni kidonda kinachweza kutibika,kwanini isipatikane mbinu ya kuzuia nzi na kukiweka dawa kwa lengo la kukausha then ngozi iwe salama?
Je,wauguzi mnalijua kuwa hizi fake medicines zinazotumika si solution la tatizo?
Ikumbukwe huu ni sehemu ya mwili.
Imagine hili lilikuwa ni muwasho wenye tija na unahitaji kuzingatiwa lakini cha ajabu ni miaka na miaka sasa sijaona hata hao wanaojiita waganga mahodari.kwani hapa nyumbani hakuna maprofessionals doctors?,na kama wapo ni kwanini wasipewe nafasi tofauti na wenye hospital,kwa sababu wahusika wameshindwa…
Maumivu yaliyopo kwenye huu mwili ni makubwa sana.
Yote ya yote maumivu ni makubwa jamani,maumivu,maumivu.