Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Muhonda na Sungaji wakati akiwa kwenye ziara Wilaya Mvomero mkoani...
Ukisoma biblia, kwa makini bila mawenge na uzwazwa wa imani, hutakuta mstari hata mmoja ulioandikwa na Yesu. Ni mara moja tu Yesu aliandika.
Ni pale alipoletewa mwanamke 'kahaba'. Alipoulizwa...
Level yetu ya umasikini ni mbaya sana kupelekea mtu akinunua MILO na maziwa ya unga akisha yachanganya kwenye chai anapiga picha then anapost status "anza asubuhi na chai nzito☕️" ili kunogesha watu
NHIF YAKUBALIANA NA AGHA KHAN MATIBABU KWA WANACHAMA MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam wamesaini makubaliano ya ushirikiano wa utoaji wa huduma za...
Sheria na taratibu za barabarani ziheshimiwe ili kulinda Afya na uhai wa watumiaji wote, suala la kukatwa Points ni kwa watumiaji/Madereva wa vyombo vya moto wote haijalishi ni Bus la Abiria ama...
Toka mwezi uliopita kumekuwa na zoezi la kuwapatia watoto chanjo, hususan wale wenye umri wa miaka 10 na chini, ambapo wahudumu wamekuwa wakifika kwenye nyumba mbalimbali.
Kesho zoezi hilo...
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa onyo kali kwa mtu yeyote au kikundi kinachojihusisha na vitendo vya kuzuia mabasi na malori kuendelea na safari zao barabarani, kufuatia kile kinachoelezwa kuwa ni...
Tunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa ajili ya Watanzania ambazo ziko katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano ndiyo inaratibu zoezi...
Salaam wakuu.
Kama heading inavyojieleza, kwa siku ya leo barabara haina msongamano kabisa hivyo kama una road trip yako na gari yako binafsi leo ilikua siku safi sana ya kutembea na kuipima...
Siri ya mayai ya kienyeji na mkojo wa mama kwa mtoto mtundu,mkorofi,kiburi....
Mayai 3.
Kama mwanako amebadilika gafla
Ameanza kuvuta bangi.
Kunywa pombe
Kulewa.
Wizi.
Yaani tabia zote mbaya...
Akizungumza leo, Septemba 29, 2026, Mkoani Morogoro wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa 31 wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Wadogo Tanzania (MVIWATA), Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt...
Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je...
Kwamba Mwanaume ambaye akikojoa na hajambi hana uwezo wa kumfanya Mwanamke wake / Mke wake akibeba Mimba amzalie tu Watoto wa Kiume.
Kuna Mtu namjua (tena Kiongozi) Yeye ana Watano na Wote ni wa...
Wadau mwenye ngoma za Michael Jackson kama ifuatavyo anisaidie.
Smooth criminal
They don't care about us
When I come of age
Stranger in Moscow
Blood on the dance floor
N.k.
Nitashukuru sana .🤝
Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma...
Naomba nikujulishe kwamba:
1. Treni siyo Gari ni mashine au mtambo unaotembea
2.Treni Hainaga Dereva bali ina msimamizi tu kama zilivyo mashine za kusaga inasimamiwa na Operetor Au machinest
3...
Mfano huyu Mugisha koti lake kufuatwa na nyuki Waswahili wamekimbilia ni uchawi!
Akili za Waafrika wengi zikishindwa kuelewa jambo kwao inakuwa ni uchawi.
RUVUMA: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia Kliniki za Ardhi, zinazolenga kupunguza migogoro ya ardhi na kuongeza uelewa...
Mwaka 2030 sio mbali sana na kwa Hali ilivyo kama CCM hakitagawanyika na kusambaratika uhalisia mchungu ni wao kuendelea kutawala kupitia chaguzi za hadaa na nguvu ya vyombo vya dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.