Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chuo Kukuu Huria kimekuwa na tatizo sugu la kutopeleka taarifa NACTVET, watu wanamaliza masomo lakini wengine huwachukua mpaka miaka mitatu ndio taarifa zinatumwa NACTVET, na hapo mpaka uwe...
0 Reactions
4 Replies
184 Views
Licha ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando kufika Stendi ya Magufuli na kuzungumza na baadhi ya madereva wa mabasi, bado mgomo huo unaendelea, ambapo wahusika wamedai kuwa wanahitaji...
3 Reactions
6 Replies
247 Views
Wanabodi... Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend. Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya...
9 Reactions
208 Replies
2K Views
Mradi wa Maji Mto Ruvuma wenye thamani ya Shilingi bilioni 38.15 umefikia asilimia 97.6 ya utekelezaji na tayari umeanza kutoa huduma kwa wananchi tangu Agosti 2026. Mradi huo utazalisha lita...
0 Reactions
1 Replies
49 Views
Alichokifanya Makonda hapo kanisa la KKKT ni utovu mkubwa sana wa nidhamu. ndo maana watu wote walikuwa wanamshangaa tu akiendelea kubwabwaja utopolo. Huwezi kupewa microphone 🎤 kanisani halafu...
16 Reactions
36 Replies
661 Views
Ukiingia katika Stendi ya Magufuli unakutana na changamoto kubwa ya ukosefu wa maelekezo na mifumo bora ya kuwaongoza abiria. Hakuna mabango au michoro ya kuelekeza watu wanapofika, hivyo inakuwa...
1 Reactions
2 Replies
109 Views
Taasisi za haki za binadamu wasilikalie kimya hili jambo maana ni ukatili na uonevu mkubwa. Hatuwezi kutesa maelefu ya vijana kisa watendaji kadhaa wasiozidi 10 wa jiji wanahofia nafasi zao...
1 Reactions
0 Replies
93 Views
Nashindwa kuelewa. Kama inatoka kwake Mungu je analengo Gani na watu wake? Kama inatoka Kwa shetani kwanini asiizuie kabla haijaleta madhara? Tuamini ni janga la asili ambalo si la ki-Mungu...
2 Reactions
11 Replies
108 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imepata fursa nyingine za ajira zaidi ya 4,500 kwa ajili ya Watanzania walio tayari kufanya kazi nchini humo kwenye kada mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
451 Views
Ninasikitishwa na kadhia ya mgomo wa madereva wa mabasi wanaoshinikiza eti wasikatwe pointi kwenye leseni zao wanapofanya makosa. Pamoja na hayo kuna mmoja nimemsikia akisema eti wanatozwa faini...
0 Reactions
12 Replies
195 Views
Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA Dudubaya mnamtumia nyie Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri...
6 Reactions
40 Replies
535 Views
TABORA Wananchi mkoani Tabora wameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuwasogezea huduma za ardhi karibu kupitia Kliniki ya Ardhi Kidijiti, hatua...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Pesa ni numbers, pesa sio maneno, pesa sio process yoyote, Pesa ni numbers. Kumbuka una hela ila hauna pesa
9 Reactions
35 Replies
495 Views
Watu wengi wanadai nguvu za Mamba zipo kwenye maji, utasikia kwenye maji huwezi kumshinda mamba. hata hivyo huyu Mamba sithani kama kweli itakuwa hivyo akiingia majini. Nimeona kwenye shoo yake...
3 Reactions
8 Replies
161 Views
Na kwanini pamoja na kuwa mwana CCM Kindakindaki Bara ila alikuwa hakubaliki na haaminiki nao hadi kuamua kukimbilia Zanzibar kuanza kuwa mbeba Handbags za Bi. Mariam mke wa Raia Hussein Mwinyi wa...
3 Reactions
7 Replies
157 Views
INASIKITISHA SANA WENGI WANAJUA NI KUSAFISHA MIJI ILA UKWELI NI KWAMBA WANAOGOPA MAANDAMANO. SUBIRI IVUKE HII 29 OCTOBER VIZURI WATU WQTAANZA KIREJEA KWENYE MAENEO QALIYO JIPANGIAGA MPAKA WANAJAA...
1 Reactions
0 Replies
60 Views
Kwa muda mrefu sijapost mada hapa JF, lakini baada ya kuona upotoshaji wa peno hasegawa kuhusu kijiji cha Itumbi imenibidi kuleta mada hii. Nimekaa kijiji cha Itumbi kwa nyakati tofauti kuanzia...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom