Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,030
- 831
Ukitoa madai yao MADEREVA wamezingua wamechukua nauli za ABIRIA wakijua HAMNA SAFARI huu ni UTAPELI, huko njiani wanazuia hadi magari ya wagonjwa YASIPITE kwa kupack magari yao na kuweka magogo barabarani hii si SAWA hudai HAKI kwa kunyima HAKI wengine. POLISI WACHUKUE HATUA KALI