Myahudi aliyeitwa Sauli? Mtume aliyeitwa Paulo? Au ni hadithi iliyotungwa tu?
Kutoka kuwa mtu aliyekuwa akiwafuatilia na kuwakamata wapinzani wa dini, hadi kuwa kiongozi mkubwa wa kanisa; kutoka...
Ndugu zanguni naombwa nifahamishwe je Gerson Msigwa aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa 2010--2020 na Ndugu Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, msemaji wa rais kwa Sasa ni Ndugu?
Kama ni Ndugu...
Nangalia CGTN Professor ana shelves nzuri za textbook akihojiwa kuhusu modern transport between Jakarta and Bandung ambapo safari ya saa 3 imefupishwa na kuwa 46 minutes with Rapid trains.
Sasa...
Kwa sasa huku ndiko dunia inakopelekwa
Na wanataka tuone ni kawaida, ukihoji unaambiwa wewe ni siasa kali
Huu ushenzi unaingia Afrika na Tanzania kwa kasi sana...
Kuna jambo moja ambalo nimekuwa nikilitafakari sana kuhusu maisha ya binadamu. Watu wengi tunajikuta tukishindana bila hata kujua tunashindana na nani.
Mtu anaona mwenzake amenunua gari, mwingine...
Kuna maadui wakubwa WAWILI WA progress ya mwanadamu namba MOJA KIBURI ,namba mbili ndugu yake na PRIDE yeye anaitwa OFFENCE
1)PRIDE ,KIBURI
• Mithali 6:16-17: "Kuna vitu sita anavyovichukia...
Ni mwaka 1986 na PEUGEOT 504
Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi
Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel.
Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani...
On the sideline of UNGA 81in New York, Tanzania co-hosted a side event with Qatar, Saudi Arabia and Indonesia to celebrate President Samia Suluhu Hassan, AU Champion for Maternal and Child Health...
Nimeona watu wananipakazia ujinga wa kuomba omba hela jukwaani,
Nilisha sema kuwa nitaendelea kuwa mwiba Mchungu kwa wadada omba omba na mapunga ya humu.
Pakazieni mpaka mchoke, ila mwiba uko...
Iko hivi
Usiruhusu mtu kutekwa, usiruhusu wewe kutekwa.
Acha kulinda amani za watekaji.
Sio unaona mwenzio anatekwa tena sehemu kama Kariakoo wewe unaishia Kupiga picha tu, uko sawa...
Kagera inashuhudia hatua kubwa za maendeleo! Barabara ya Lusuhunga–Rusumo imefikia 69%, ikifungua fursa za biashara, kurahisisha usafirishaji na kuimarisha uhusiano wa kikanda.
Ni utekelezaji...
Anapokufa tajiri, kiongozi mkubwa au mtu maarufu sana watu wanapagawa na kukipamba sana kifo. Wanaongea misemo na maneno mengi mno kuonyesha utajiri, maisha mazuri na ukuu sio chochote.
Huu ni...
Habari wanajukwaa.
Wakuu natambua humu kuna wajuzi wa mamb mbali mbali. Nina dhamira ya kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote.
Ninaomba nipate mtu anaejua biashara hii...
OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI.
NITASIMAMA.
Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao.
Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga...