Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari, Mimi ni mteja wa mtandao wa Airtel. Takriban wiki moja iliyopita, nilianza kupokea ujumbe unaonitaarifu kuwa namba yangu itafungwa. Ninapompigia mtu simu, ujumbe unaonekana ukisema kuwa...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Wakuu, nadhani mmeiona hii habari inayotrend mitandaoni kuhusu taarifa za kifo cha mfanyabishara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo. Taarifa za awali zinasema helikopta yake imeanguka maeneo ya...
7 Reactions
26 Replies
823 Views
🌙 SAIKOLOJIA YA JIONI | R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST Usimalize siku ukihukumu nafsi yako kwa makosa ya leo. Kila siku huja na changamoto, maamuzi, mafanikio na wakati mwingine makosa...
1 Reactions
5 Replies
103 Views
Anonymous
Kwa kuwa kila siku magari yanapita katika mizani mbalimbali, kuna changamoto inayowakabili madereva na wamiliki wa magari ya mizigo. Unaweza kupita mizani A, ukaambiwa umezidisha uzito na kupewa...
1 Reactions
0 Replies
63 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amebadilisha rasmi jina la Artificial Intelligence (AI) kuwa “Super Intelligence (SI)” baada ya kusaini Executive Order tarehe 29 Septemba 2026, inayozielekeza...
2 Reactions
10 Replies
172 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema inaendelea kuchunguza ukwepaji kodi kupitia udanganyifu wa taarifa za magari, ikiwemo aina, modeli, mwaka wa kutengenezwa na thamani ya gari. TRA imesema...
3 Reactions
2 Replies
385 Views
Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria. Nataka kuona wakiwa mahakamani...
0 Reactions
1 Replies
52 Views
Unajua kuwa leseni yako ya udereva ina pointi 15, ambazo zinaweza kupunguzwa kutokana na makosa ya barabarani? Hapa Advocate Witness Manase anaeleza zaidi namna unavyofanya kazi Kwa mujibu wa...
1 Reactions
4 Replies
215 Views
Au sio mambo yenu wana JF? Ndo talk of the nation kwa sasa.
1 Reactions
29 Replies
165 Views
Kulingana na vyombo na utabiri wa hali ya hewa, uwezekano wa mvua za El Nino kutokea ni 100%, iki maanisha kwamba iko hapa tayari, sasa ni kuanza kumwagika tu. Tuliambiwa tutegemee mvua hizi...
8 Reactions
9 Replies
339 Views
TRA : "Ukwepaji kodi na Udanganyifu" MACHAWA : " Tra yabaini Utofauti" Katika hali ya kusikitisha , jumamosi usiku Palm BEach Cassino iliyopo Upanga Mashariki Dar es salaam, alionekana mbunge...
14 Reactions
69 Replies
1K Views
Siamini katika mafanikio ya mkato wala miujiza ya mtandao; ninaamini katika uhalisia, jasho, na misimamo isiyotikisika. Ninaandika kile ninachokiishi na kusimamia kile ninachokiamini. Kwenye...
0 Reactions
4 Replies
63 Views
Kwanza nianze kwa kuwashukuru kwa kupata muda wa kupitia UZI huu. Chamsingi zaidi ni kutaka kuweka bayana kuwa kwasasa hamna namna inabidi tukubali tu msanii Diamond mtoto wa tandare ndio msanii...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Ili kuzima swala la CCM na Nchimbi mnaweza kushangaa kila jambo mpaka mkuu wa mkoa kafanya makamo wa raisi. Hii code inalenga nini na mada zao na mtashangaa jambo la Zanzibar kuwa utawala wa...
2 Reactions
3 Replies
159 Views
Katika jamii, watu wenye aina ya damu ya AB+ mara nyingi huchukuliwa kuwa na tabia za kipekee sana. Hii ni kutokana na ukweli kwamba kibaolojia damu ya AB ni nadra (inapatikana kwa takriban 3%...
4 Reactions
3 Replies
136 Views
Watu wenye kundi la damu la AB- ni miongoni mwa watu nadra sana duniani (chini ya 1% ya idadi ya watu wote). Katika mifumo ya saikolojia na utamaduni wa tabia za makundi ya damu (kama vile...
2 Reactions
2 Replies
77 Views
Ni story ya kuamkia January 31 mwaka 2011. Eneo ni makaburi ya Mwananyamala hospital, njia ya kuelekea kwa Kopa (Hadija) Msisiri 'B' Ilikuwa ni mshtuko mkubwa baada ya asubuhi ile nje ya nyumba...
53 Reactions
476 Replies
73K Views
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana...
89 Reactions
2K Replies
315K Views
SUMBAWANGA: Wakazi zaidi ya 60 wa Klyamatundu, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa, wamepatiwa hati miliki za ardhi baada ya kukamilisha taratibu za umilikishaji wa viwanja vyao...
0 Reactions
1 Replies
148 Views
Back
Top Bottom