Pesa mtaani zipo bwelele , vijana wadogo kabisa wana miliki ndinga kali .
Yale mambo ya vyuma vimekaza kama kipindi cha magu siku hizi huwezi kuyasikia .Watu hawalalamiki pesa mtaani hakuna au...
ukweli ni kwamba katika hii sayari ya dunia maisha bila ya mashariti ayawezekani kabisa. kamwe auwezi kuyakwepa mashariti ndani ya hii sayari ususani linapokuja swala la kuyaitaji mafanikio...
Madereva wenye uzoefu na sifa wapo wengi sana mitaani hawana kazi.
Hivyo matajiri jambo la kufanya ni moja tu, wafukuzeni kazi madereva wote ambao wamegomea kufanya kazi kisha wekeni madereva...
Aliniomba nimchagulie dini bora , nikapendeza awe binti wa kiislamu kama bibi yake zamani hizo , sikupenda awe mchristo kama mimi japo now sina dini yeyote 🤣
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya...
Achana na hawa wamatumbi ambao ni light skin, nao ni wazuri kwa kiasi chao ila kuna hawa chocolate in beut , hawa ndio maini haswa wa afrika😋
Achana na wewe mwenye weusi wa kobe Pumbavu...
Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya ambaye ni mwanaharakati wa kulinda migongo amemuomba msamaha msanii mwenzake Ommy Dimpozi akisema alitumia jina lake katika harakati zake kutengeneza content...
Badala ya mwendokasi kwanini tusiweke Metro line kutoka Bunju Hadi Posta? Hii inawezekana kupita juu Kwa juu katikati ya barabara bila kuathiri magari ya kawaida. Train za umeme full automated...
HOFU YA DUNIA NA MAISHA — KUNA SIKU TUTAISHI BILA KUOGOPA?
Kuna wakati unakaa kimya peke yako, halafu unaanza kujiuliza maswali ambayo huwezi hata kumwambia mtu.
Kesho itakuwaje?
Nitafika wapi...
🌙 SAIKOLOJIA YA JIONI
Ushauri wa Saikolojia Nasihi
USIUBEBE MZIGO WA LEO HADI KITANDANI
Siku inaweza kuwa imekuwa ngumu.
Huenda umechoka, umeumizwa, umekatishwa tamaa au mambo hayajaenda kama...
Hii inanishangaza sana. Watu wanatoa wapi ujasiri wa hadi kulipia kabisa matangazo Insta na Facebook kunadi utapeli wao huku TCRA ikiwepo? Ninashangaa sana. Nimeona kuna matapeli yanatumia majina...
🧠 UJUMBE WA LEO | SAIKOLOJIA NASIHI
USIJIPUUZE KIHISIA
Wakati mwingine tunajifunza kuwa imara kiasi kwamba tunaanza kupuuza hisia zetu.
Unasema, “Niko sawa,” wakati ndani yako umechoka...
Kutakatisha fedha ni mchakato wa kuficha asili ya fedha haramu ili zionekane ni halali. Sheria ya Udhibiti wa Kutakatisha Fedha Tanzania ilitungwa kutokana na shinikizo la Marekani baada ya...
Thread yangu ni kama kichokoza mada.
Katika miaka ya zamani wezi, mafisadi, wauza unga wengi walitakatisha fedha kupitia ndoa, mhusika anaoa ama kuolewa na public figure yeyote then kutakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.