Tuchulie mfano Kesi ya Ommy Dimpoz, Wanasema amedanganya bei ya gari.
Mi najiuliza Ommy kanunia gari used, na bei ya gari used ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi. Naweza nikawa nina watu Japan, nikataka gari wakaninunulia kwa mtu na sio zile za mnada wala Za dealership. Hii gari lazima iwe bei nafuu lakini ukija TRA wanakwambia hiyo sio bei yake umeshusha. Sasa wao wanataka sio tununue magari tuuziwe bei kubwa ndio wafurahi ama?