Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 1,149
- 1,986
Hello Great Thinker....
Namtafuta rafiki yangu humu, ...anapenda konyagi sana, alinambia atanipa(.....) kila mtoto ana baba yake.
Mopak
Nakuita Mopak uje kwa YESU Utubu....
Yeye ni mwenye rehema atakusamehe kabisa....
Jina lako la Mopak litaandikwa mbinguni....
Utakuwa kiumbe kipya ya kale yote yatapita....