Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,698
- 9,503
Wakuu mnaofahamu mawili matatu karibuni kabla sijaanza makeke yangu.
Okay okayAna mme wa pili alishaolewa na kuachika
AiseeKaolewa na mme wake alipata mgao wa teuzi kumpindua ummy mwalimu
Kumbe ndio anakula mzigoUnafikiri kwa nini yule kilaza asiekua na akili Mchengerwa ni waziri?
Hahahhahaha ila ww jamaaaAna mme wa pili alishaolewa na kuachika. Wewe utakuwa wa tatu ukibahatika
Ulitaka kumuoaWakuu mnaofahamu mawili matatu karibuni kabla sijaanza makeke yangu.
Kumpiga mitiUlitaka kumuoa
Na mume wake anakifua kipanaWakuu mnaofahamu mawili matatu karibuni kabla sijaanza makeke yangu.
MmhKumpiga miti
Nchi haina uongozi mkuu kwahiyo sijui mafisadi yaliyopo yamegawanaje nafasi.Waziri wa afya unamjua
Ndiyo ukweliHahahhahaha ila ww jamaaa
Inasemekana......!! Sawa
Na kumlaumu Jenista MhagamaKaolewa na mme wake alipata mgao wa teuzi kumpindua ummy mwalimu