Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo...
Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama...
1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia
Eg. Northern tourism circuit -Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro...
Leo nipo mwanga nimepita jirani na uwanja wa Msuya nimeona shamrashamra SIO za kawaida, mji mdogo lakini Leo kumekua Hadi na foleni, wageni ñaona NI wengi sana.
Nachojiulza nimekutana na vibinti...
Habari za leo wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop...
Talmud ni mkusanyo wa mafundisho ya Kiyahudi ambayo yamekusanywa kwa karne nyingi na kufanywa kitabu. Kwa kifupi, ni mchanganyiko wa sheria za kidini, mafundisho ya kimaadili, historia, na maelezo...
Nimeona huko mkoani Arusha mkuu wa mkoa huo kachicha ng'ombe 400 watu wale nyama bure bila malipo yoyote.
Hapa nimejiuliza hivi ng'ombe 400 watakua na thamani ya bei gani na kwa nini kafanya...
Wakuu,
Leo nimetoka Mwanza kwenda Nairobi kwa ndege ya Air Tanzania. Ndege hizi zinakera sana.
Kwanza kutoka Mwanza ilichelewa kwa nusu saa. Tukavumilia
Kasheshe imetokea tena usiku huu hapa...
Falsafa inayowaongoza Wayahudi imechangiwa na mafundisho ya kidini, kitamaduni, na wanafalsafa wakuu wa Kiyahudi kwa historia yao. Baadhi ya falsafa na mawazo yanayowaongoza Wayahudi ni kama...
Nimeona wababa wengi wa kisasa hasa hawa wenye vipato vya kubadilisha mboga aka middle-class wanawadekeza sana vijana wao wa kike (mabinti).
Sasa nachowaambia endeleeni ivoivo majibu mtayapata...
Malumbano makali ya hoja kati ya mwanamke na mwanaume:
MWANAMKE:
Wanaume, acheni tusherehekee. Eti mnasema leo tumevaa mavazi yasiyo na staha? Wanawake wenzangu, huu ni wakati wa kusimama na...
Mtu anakupigia simu au umempigia simu unaanza, "Oooh simu zangu hupokei siku hizi, umenitupa.
Hunitafuti mpaka nikutafute." na maneno mengine kama hayo ya kutaka kumfanya mtu ajihisi guilt...
Wakati mataifa mbalimbaki dunia yakiadhimisha siku ya wanawake Machi 8, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Bw. Hamad Mbega, ameitumia siku hiyo kuwataka wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na...
MHADHARA (102)✍️
Mpaka sasa kuna makampuni makubwa yana "Wasimamizi na Maafisa waajiri wa hovyo" ambao wanaajiri wanawake wenye sura nzuri (warembo) na makalio makubwa hata kama wana changamoto ya...
Air Tanzania mlichonifanyia mmebadilisha safari yangu ya ndege ya saa kumi jion hadi saa tano usiku. Cha kushangaza hamjibu email wala namba yenu ya simu ambayo ni 0748773900.
Simu inaitaa mpaka...
Watu wengi wakifanikiwa uanza kuwa motivational speaker,na wanatengeneza story ili wauze wapate pesa zaidi kwa wasio na pesa.
Unamponda kijana hana nyuma wala mbele kama vile andazi, kitumbua au...
Kusimamia familia ndogo ya duma kunaweza kuonekana kuwa ni jambo jepesi na rahisi kwa mama duma, lakini kila siku ni changamoto ya kimyakimya yenye kuhitajiuvumilivu sana. Alfajiri, anaamka...
Basi la wachezaji wa Pamba Jiji FC limepata ajali katika eneo la Bahi mkoani Dodoma majira ya saa 11 alfajiri wakati kikosi hicho kikiwa safarini kutoka Bukoba kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili...
Mtale Kwanini unaomba ndoo kwa huyo bimkubwa huku ndoo zimejaa ndani?.
Ni swali aliniuliza mfanyakazi mwenzangu niliewahi kuishi naye kwenye nyumba moja.
Kisa katika moja ya maisha halisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.