Picha zinaongea yote, wahusika wameshachezesha kuwahi viwanja.
Walisema walipoulizwa kwa contacts zao, kwamba kuanzia tarehe 17, sasa itakuwa tarehe 25 Februari.
Mnao wahi mkawahi. Labda...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kama wanaume wangekuwa waadilifu, wenye Haki, upendo, Akili na kupenda UKWELI. Ni wazi Wala tusingekuwa na vuguvugu na harakati za kumkomboa Mwanamke, sijui Haki...
Kumekuwa na shida ya maji Wilaya ya Nachingwea kwa miezi minne sasa maji yanatoka kwa kusuasua wakati huohuo Mamlaka ya Maji (MANAWASA) haijatoa sababu za msingi za uwepo wa hali hiyo au wala...
Juzi tarehe 23/02/2025 saa mbili na nusu usiku walimkata panga mtoto wa jirani yetu hapa Mwanalugali B na kumpora simu kisha wakalisahau panga hilo eneo la tukio.
Ni muhimu Mtumiaji wa Huduma za Mawasiliano ya simu kuhakikisha anachukua tahadhari wakati wa usajili wa laini yake ya simu kwa Wakala kwa kuhakikisha Mtoa huduma ya kusajili na kuhakiki...
Mdada mmoja alikuwa anasema kumeongeza issue ya wake za watu kudanga kutokana na tamaa za wadada wengi kujirundiikiana marejesho juu ya marejesho hadi imepelekea wake za watu sasa kuanza kudanga...
Pesa ndo Inaamua mambo Mengi sana, na Pesa ina maamuzi ya kushangaza.
Pesa inatawala maamuzi ya watu walio wengi, na Pesa inamaamuzi na ni kirainishi cha mambo Mengi.
Note
Pesa ni jawabu ya...
Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates.
Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza...
Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao.
Je, hii ni sawa?
Kuna usemi maarufu unaosema, "watu wazuri wanamaliza mwisho," ambao mara nyingi hutumika kuelezea hali ambapo watu wenye roho nzuri, ambao ni waaminifu, wanyenyekevu, na wenye huruma, wanakosa...
🧵(Thread)
1️⃣ Enzi zile, Sodoma na Gomora ziliteketezwa kwa moto kwa sababu ya dhambi zao. Lakini leo, dhambi zilezile zinashamiri duniani k.v. usenge—mbona moto haujashuka tena? 🤔
2️⃣ Je, ni...
Ikiwa wazazi wako walikushauri uende chuo kikuu ili uweze kuhitimu, upate kazi nzuri na uishi maisha mazuri, walikukosea.
Ikiwa unafikiri ulisoma chuo kikuu ili upate kazi nzuri, utachukizwa...
Mnamo tarehe 26.03.2024 majira ya saa mbili usiku katika eneo la Kivukoni kwenye Kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi), kulitokea hali ya vurugu kati ya abiria na madereva wa basi liendalo...
habari wadau.
Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika.
wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za...
Usiseme natukana watu, soma mpaka mwisho utajua kwanini kichwa cha uzi kimeandikwa hivyo.
Katika mijadala na malumbano ya hoja hapa JF, kuna watu wengi waliojaa hasira vifuani mwao...
Huwa najiuliza, kama Taifa tuna nini akilini mwetu?
Haiingii akilini kuwakopesha zaidi ya milioni 13 vijana, tena kutoka familia masikini, ili wasome vyuoni halafu tushindwe kuzirejesha hizo...
Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.