Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Poleni na mfungo wakuu, 👉Kama tunavyojua wanawake wameumbwa na hulka ya kusifiwa 👉Na pia ni emotional oriented " 👉Kwenye suala la upishi huwa wanapenda sana wapewe credit Endapo mwanamke wako...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Hii ni picha iliyopigwa "Tantranil Castle" huko Scotland, na mpiga picha, "Christopher", anaapa kwamba hakuna mtu aliyekuwepo wakati anapiga picha hiyo! 👀 Hata hivyo, inasemekana kwamba mahali...
5 Reactions
7 Replies
844 Views
Wasalaam Sifa nyingi kapewa mhe. Kahaidiwa na kupata kura nyingi Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Sitaandika mambo mengi lakini ujumbe huu unaweza kuwafanya bora zaidi. Cheki huu ujumbe ambao huyu dogo katumiwa baada ya maombi yake ya kazi kutokukubaliwa "Hi XXX "Thanks a ton for applying...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Hakunaga binadamu asiyetaka kuwaprove wrong haters wake. Kuwaprove wrong watu waliokuwa wanasema hatoweza ku accomplish jambo fulani. Hakunaga.Hata Mungu alimruhusu Shetani amjaribu Ayubu kwa...
14 Reactions
44 Replies
2K Views
Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go. Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim...
28 Reactions
365 Replies
12K Views
Wakuu, Watu wapo karibu na wazazi/mzazi wake lakini yeye ni kumtakia mabaya kila leo. Mzazi anafurahi kuona mtoto wake anaharibiwa, ukifanikiwa inakuwa kama mwiba kwake, hapakufai hapo kaa mbali...
6 Reactions
3 Replies
403 Views
Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa. If...
9 Reactions
48 Replies
1K Views
Serikali inamkono mrefu Kamaa wa jini maimuna. Hili limedhihirika hapo jana baada ya sintofahamu bin zengwe iliyosababisha mashaka makubwa juu ya uwepo wa mchezo wa Leo wa Yanga vs Simba. Duru...
7 Reactions
15 Replies
923 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo akiwa Wilaya ya Magharibi A tarehe 06 Machi, 2025 amewataka Wazazi na Walezi kuwashajihisha Vijana wao kutumia vizuri mitandao...
1 Reactions
1 Replies
269 Views
Nimejaribu kuwaandikia sms ONDOA lakini wananijibu bado hujajiunga na ZALI na maelezo mengine ya kitapeli. Nifanye nini kukomesha huu utapeli ukizingatia kila unapowatumia sms wanakata kwenye...
4 Reactions
14 Replies
523 Views
KIGOMA: MAMA lishe na walengwa wa kusaidia kaya masikini Manispaa ya Kigoma Ujiji wanatarajia kunufaika na ugawaji wa majiko banifu yaliyogaiwa na Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) kuhamasisha...
2 Reactions
10 Replies
558 Views
Tanzania inazidi kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na jitihada zake za kupunguza vifo vya wajawazito. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameweka...
3 Reactions
4 Replies
455 Views
Wazazi ambao hawapeleki chakula Cha mchana katika shule za msingi kuchukuliwa hatua kwa mjibu wa Sheria na kushitakiwa kwa kutowajibika vema kwa Watoto wao. Hayo yamejiri katika kikao cha dharula...
2 Reactions
6 Replies
458 Views
HUDUMA YA MAJI DAR NA PWANI IPO VIZURI - DAWASA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema hali ya upatikanaji huduma ndani ya eneo lake la kihuduma katika mikoa ya...
1 Reactions
7 Replies
459 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rossmery Senyamule amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatunza chakula na wasitumie nafaka kwa ajili ya kutengenezea pombe kutokana na hali ya ukame...
2 Reactions
4 Replies
387 Views
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza nyumba ya familia ya Bibi Maria Kaudidi Mkazi wa Kijiji cha Urauri Kata ya Rea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nakuicha familia hiyo bila...
2 Reactions
3 Replies
394 Views
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka...
1 Reactions
3 Replies
691 Views
Naibu Waziri wa Viwanda na biashara na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Exaud Kigahe,ameitaka kampuni ya Mwenga Hydro power kuboresha huduma zake ili kufikisha nishati ya umeme kwa Wananchi wa...
2 Reactions
2 Replies
259 Views
Back
Top Bottom